CHADEMA wekeni bayana msimamo wenu

kamanda nakumbuka kuna siku uliwauliza " je zile sababu za kususia uchaguzi uliopita zimefanyiwa kazi?? wakakutukana
 
makada wa ccm ndio wasimamizi wa uchaguzi kuna uhuru kweli hapo tena wanajitapa kabisa aeisee. teknolojia ni ya kuogopa kama ukoma
 
Wangekua wanasikiliza ingependeza zaidi.
 
Mleta Uzi atakuwa ana utindio wa ubongo haoni yanayoendelea ...rubbish kabisa
 
Wananchi wanatamani ccm wote wafe, tena wasi rest in peace, lakini mungu naye kagoma hapangiwi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…