M Mbuki Feleshi Senior Member Joined Jan 24, 2011 Posts 155 Reaction score 29 Apr 22, 2012 #1 kuna maandamano makubwa sana katika barabara ya airport Mwanza watu ambao asilimia kubwa ni vijana wanaandamana huku wakilisukuma gari la Dr Slaa kuelekea airport.
kuna maandamano makubwa sana katika barabara ya airport Mwanza watu ambao asilimia kubwa ni vijana wanaandamana huku wakilisukuma gari la Dr Slaa kuelekea airport.
Royals JF-Expert Member Joined Nov 19, 2011 Posts 1,479 Reaction score 394 Apr 22, 2012 #2 Leta full stori nini kimetokea na nini sababu yake?
T Tiger One JF-Expert Member Joined Apr 11, 2012 Posts 568 Reaction score 312 Apr 22, 2012 #3 Kamanda Lema gari yake haipo nayo isukumwe?