Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,290
- 2,438
Leo trh 8 Des 2014 ilikuwa ni uzinduzi wa Kampeni za Chsdema uchaguzi serikali ya mtaa Sinza C. Kwa kawaida mikutano hii hufanyika ktk eneo wazi maarufu jirani na Ukuta wa Posta. Imenishangaza kuona leo wamefanyia eneo la kupaki magari nyumbani kabisa kwa M/kiti sasa wa serikali ya mtaa mzee Omart Magembe. imenisikitisha mzee huyu amefiwa na binti na kwa kupigwa short ya umeme laki spika zimefungwa usawa getini kwake na kana kwamba hakuna kitu kinachoendelea. Nadhani walitaka kupuleka ujumbe fulani bahati mbaya wakazi wa mtaa wamesusa wakabaki pekee yao wengi wakiwa viongozi wa mitaa mingine ya Sinza.
Chadema wanachotaka ni madaraka tu na si ubinaadamu.
weka picha acha porojo za kitoto

nikuwekee picha itasaidia nini? Makosa ya kukosa ubinadamu kama haya yanakigharimu chama. Kesho chama kinapokataliwa tunakimbilia kusingizia kuibiwa kura.
Hivi Chadema bado ipo hapa Dar?
Chadema wanachotaka ni madaraka tu na si ubinaadamu.
Chadema wanachotaka ni madaraka tu na si ubinaadamu.
Leo trh 8 Des 2014 ilikuwa ni uzinduzi wa Kampeni za Chsdema uchaguzi serikali ya mtaa Sinza C.
Kwa kawaida mikutano hii hufanyika ktk eneo wazi maarufu jirani na Ukuta wa Posta.
Imenishangaza kuona leo wamefanyia eneo la kupaki magari nyumbani kabisa kwa M/kiti sasa wa serikali ya mtaa mzee Omart Magembe.
Imenisikitisha mzee huyu amefiwa na binti na kwa kupigwa short ya umeme laki spika zimefungwa usawa getini kwake na kana kwamba hakuna kitu kinachoendelea.
Nadhani walitaka kupuleka ujumbe fulani bahati mbaya wakazi wa mtaa wamesusa wakabaki pekee yao wengi wakiwa viongozi wa mitaa mingine ya Sinza.
ni kweli tumefiwa na dada yetu Hidaya Magembe, na msiba tulizika alhamis, hivyo basi siku za Kampeni zimetolewa chache sasa unategemea kwa hali hii utafanyaje? tunajua mzee bado anamajonzi lakini kwasababu eneo la wazi ni pamoja na eneo lililo mbele ya nyumba yake hakuna budi kutumika kwa kufanya kazi za umma. R.I.P mama dully
Fuatilia post hii ya August 2013 ujue ni jinsi gani maamuzi yasiyo na busara yanaigharimu na kuikosesha ushindi Chadema katika mtaa huu. Pamoja na kutahadharishwa tena wanarudia makosa yaleyale.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ga-mkutano-wa-kampeni-wa-ccm.html#post7048801
Ina maana kila mwaka wewe ndiyo unafuatilia habari za CDM na kuzileta humu. CCM mkubwa weye.