Mohamed Mbelwa JF-Expert Member Joined Apr 13, 2013 Posts 507 Reaction score 272 May 17, 2013 #1 Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA. Leo wamezindua mkutano wa kampeni kata ya iyela wananchi wamefika kwa wingi sana nitawatumia picha muda si mrefu
Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA. Leo wamezindua mkutano wa kampeni kata ya iyela wananchi wamefika kwa wingi sana nitawatumia picha muda si mrefu
Daffi Jr JF-Expert Member Joined Jun 25, 2011 Posts 3,824 Reaction score 909 May 17, 2013 #2 Hongereni wana Mbeya!chagueni kilicho chema.
T takayuki alex Member Joined Apr 23, 2013 Posts 9 Reaction score 0 May 17, 2013 #3 Wanambea kama kawaida msifanye makosa CHADEMA MWANZO MWISHO.
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,371 May 17, 2013 #4 kampeni ya kugombea nafasi gani, hiyo nafasi ilipatikanaje, twawatakia uchaguzi mwema. nakiunga mkono CHADEMA.
kampeni ya kugombea nafasi gani, hiyo nafasi ilipatikanaje, twawatakia uchaguzi mwema. nakiunga mkono CHADEMA.
mwenezi JF-Expert Member Joined Dec 18, 2012 Posts 506 Reaction score 108 May 17, 2013 #5 mbeya kimbiza hao magamba kwa manufaa ya vizazi vijavyo.magamba ni hatari kwetu nakwenu pia.nyie ni ngome(strong hold)yetu.msituangushe.
mbeya kimbiza hao magamba kwa manufaa ya vizazi vijavyo.magamba ni hatari kwetu nakwenu pia.nyie ni ngome(strong hold)yetu.msituangushe.
G Geofrey Andrew Sanga JF-Expert Member Joined Apr 8, 2013 Posts 251 Reaction score 55 May 17, 2013 #6 jogi said: kampeni ya kugombea nafasi gani, hiyo nafasi ilipatikanaje, twawatakia uchaguzi mwema. Nakiunga mkono chadema. Click to expand... nafasi ya udiwani kata ya iyela diwani wa kata hiyo(ccm) alifariki mwanzoni mwa mwaka huu alikuwa anaitwa mkwenzulu na kuicha nafasi hiyo wazi
jogi said: kampeni ya kugombea nafasi gani, hiyo nafasi ilipatikanaje, twawatakia uchaguzi mwema. Nakiunga mkono chadema. Click to expand... nafasi ya udiwani kata ya iyela diwani wa kata hiyo(ccm) alifariki mwanzoni mwa mwaka huu alikuwa anaitwa mkwenzulu na kuicha nafasi hiyo wazi