CHADEMA wazalendo wakubali kushindwa

Nilichogundua wote mnaojifanya viva, hakuna hata mmoja mwenye kadi ya CDM! CDM mzalendo kama mimi siwezi kuchezea hii fursa ya mabadiliko kisa hongo na mchumba!
 
Dah mnanikumbusha machungu Sana nikikumbuka kampeni za Dr. Slaa 2010 ndizo zilizonifanya Kwa mara ya kwanza kutumia kichinjio changu na kubwa ilikuwa jinsi alivyoibeba Kwa makini hoja ya ufisadi. Leo hii eti tunaambiwa ilimradi tu CCM itoke Kwa kuingiza majizi? I hate Chadema, I hate politics,
 
padre slaa na mwanakijiji hawa ndio watu unawaita wazalendo...hawa tumeshawatupa pembeni tunasonga mbele
 
ujanjaujanja hadaa usanii mizungu mazingaombwe rushwa utabiri wa manabii yote yatagonga ukuta. watanzania oct 25 watamchagua mtu muadilifu na mchapakazi john pombe magufuli. takwimu zako peleka chadema.
 
Chadema asilia tulishaamua kumpigia kura Magufuli kama Dr Slaa alivyotuhamasisha. Kura zooooote kwa Magufuli.
Na pia kwa sababu Gwajima alitutusi waislam kwa kusema atakwenda kugeuza misikiti yote nchini yawe maholi ya watoto wa sunday school za kanisa!
Na kwa sababu Gwajima huyo huyo ndie aliyetuletea Lowasa yeye akiwa kama mshenga baaaaasi! Habari imeishia hapoo! Mtaisoma namba subirini.
Mbowe na group lako mtalia na kusaga meno mwaka huu. Anyway najua hamtaumia sana kwa sababu kama mabilioni ya pesa mmeshayapiga. Mungu awape nini.
 
Kamanda hatuwezi kukubali kushindwa kwa sababu ukweli ndio unaendelea kutuweka huru.
Tazama anguko kuu la chadema mafisadi linakuja. Stay tuned! Hapi ndipo chadema asilia itaibuka kwa nguvu ya wanachama. Natamani siku ifike haraka sana
 
Nilichogundua wote mnaojifanya viva, hakuna hata mmoja mwenye kadi ya CDM! CDM mzalendo kama mimi siwezi kuchezea hii fursa ya mabadiliko kisa hongo na mchumba!
Nyie wote mnaojifanya chadema ya mabadiliko tunajua mtapotea mara baada ya uchaguzi. Mnalipwa kwa kushabikia ufisadi na mafisadi. Baada ya uchaguzi hamtatambulika teena.
 
mtu unakuta ana kadi namba 20050 alafu anajiita mzalendo? je mwenye kadi namba 1 atajiita nani?
 
Nyie wote mnaojifanya chadema ya mabadiliko tunajua mtapotea mara baada ya uchaguzi. Mnalipwa kwa kushabikia ufisadi na mafisadi. Baada ya uchaguzi hamtatambulika teena.

mbona huyo bondia wenu anadanganya watu kuwa ataanzisha mahakama ya mafisadi huku yeye akiwa ni moja ya mafisadi na watu waliolitia hili taifa hasara kubwa kwa maamuzi yake ya kukurupuka?
 
Nilichogundua wote mnaojifanya viva, hakuna hata mmoja mwenye kadi ya CDM! CDM mzalendo kama mimi siwezi kuchezea hii fursa ya mabadiliko kisa hongo na mchumba!

Mabadilikooooooooo Lowassaaaaaaaaaaaaa
 
Mbona CHADEMA kilishakufa kibudu Mbowe alipopokea peremende, chezea nchaga weye!
 
Ccm kweli wameelemewa. Sasa imebidi wajiite eti makamanda wa chadema. Chadema ni mojavwale waliopinga wameondoka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…