Huku mambo ni shwari kabisa,kinachosubiliwa ni october tu maana wananchi wameamuka na ushaidi ni uchaguzi wa serikali za mitaa.
Kimadoi bangaega sanjaranda mlowa tambukareli majengo mlongojii potepote peopleeee
Huku mambo ni shwari kabisa,kinachosubiliwa ni october tu maana wananchi wameamuka na ushaidi ni uchaguzi wa serikali za mitaa.
Hadema Tunataka Tumfikie Mtu Kwa Mtu, Huu Moto Ccm Hawauwezi, Mbinu Yao Ya Kuunda Act Imegonga Mwamba, Waangalie Mbinu Nyingine, Kama Wameishiwa Mbinu Wanyoshe Mikono Juu.