CHADEMA waumbuka mahakamani


Mkuu ulichokiandika hapo kwenye bluu, kinauhusiano wa karibu na sana na ulichokiandika hapo kwenye nyekundu..!!

Hakika ni punguani pekee anayeweza kukusanya nguvu kupigana na mfu Na hili ndio sababu wanaccm wengi wanaitwa "Misukule" humu ndani na wao kuona kama wanatukanwa kumbe tunawapa sifa yao tukuka. Maana itakuwa ni matusi ya hali ya juu kwamba Binadamu mwenye akili timamu unaweza kupambana na marehemu ni ujuha wa hali ya juu otherwise uwe na ubongo wa kiroboto kama unavyodai

BACK TANGANYIKA
 
Kama kwako hili si la maana waachie wenzio wanaoona la maana. Chadema waliona la maana ndiyo maana walitafuta mawakili mahiri, walienda mahakamani, kuliwekea zuio
B.G Tantawi wewe ni mmoja wa mazwazwa aliyoyasema mwanachma mahiri wa cdm. Leo ndo nimegundua toka kwako MAZWAZWA ni wapi. Yaani CDM hawakutumia IQ kwa swala lakwenda mahakamani au uzwazwa unakusumbua!!!!!!!!!
 
unapotaja chadema, unamaanisha wasanii
 

asante mkuu .
 

wewe pimbi kweli kasoro mkia!!
 
swali dogo tuu kama chadema sio mawakili wa ludovick walipataje mwanya wa kuanza kuongea na hakimu Mh Mchauru???? na haya hakimu aliyasema wapi?
 
naona wewe unatamka watu waanze kuuliza yule aliye ampa kuwa ana ushahidi duniani na mbinguni aitwe apeleke sijui atasemaje, tulia bwana mdogo ngoma ya ccm na cdm ngumu na kwa uhalisia ccm wameshindwa.
 
Ukiangalia kwe YOU TUBE ,yan CDM wanapanga kuuwa mwandishi kabisa,ukitaka kuona video andika LWAKATARE kwenye YOU TUBE inakuja,ndio maana sasa media imewasusa CDM
 
naona wewe unatamka watu waanze kuuliza yule aliye ampa kuwa ana ushahidi duniani na mbinguni aitwe apeleke sijui atasemaje, tulia bwana mdogo ngoma ya ccm na cdm ngumu na kwa uhalisia ccm wameshindwa.

Hao mbona wengi sana, wengine walisema wanaushahidi wa waliolipua bomu Arusha wanasubiri waitwe wautoe. Na hao tutasemaje?
 
Wewe ukiona ni dogo kwa wengine ni kubwa.hupendi pita hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…