CHADEMA wataifilisi hii Serikali

"If you can't defeat them, then join them". Ccm haiwezi kuishinda chadema hata siku oa moja. Na ndio maana chadema wakitema dini wao hukimbilia polisi kwa sababu walishakosa sera. Acha hata hayo maandamano mimi natamani icc ije iwachukue hata bila kuwafungulia mashtaka. Ila ipo siku.
 
Hasara ni kubwa mno na kuna watu ndani y Mfumo wananufaika na hizi nginja nginja
 
Hahaha we jamaa
 
Kuwaingiza serikali itakuwa ni kuiua nchi.INATAJIWA SERIKALI NZIMA IJIUZULU ILI UCHAGUZI HURU NA HAKI UFANYIKE NA KUPATA VIONGOZI WANAOTAKIWA NA WANANCHI.7/7 TUNAKINUKISHA HADI KIELEWEKE NA WAKITUSHINDA TUTAKINUKISHA TENA AFCON HADI TUIKOMBOE NCH
 
Mtapigwa nyiee
 
Unawaingizaje hao kweny system ambayo inaongozwa kwa katiba ya kifalme? Issue ya kwanz kbs ni kuondoa katiba iliyopo na kuweka katiba mpya.
 
Dogo wanaofanya hizo vurugu wapo hhumo humo serikalini, hao chadema wanatumika kama kivuli ili wahusika wasionekane. Ila wavuruga wapo ndani na wanakomoana wenyewe kwa wenyewe, hata hio 7 saba waanzilishi ni hao hao.
Something like that 🤔
 
Ukweli ni kwamba, wapo hata wanaccm wengi tu hawamkubali. Hivyo shughuli ni pevu haswa, ni kama wanalinda bahari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…