CHADEMA watafute mbinu mbadala, Lowassa hataweza kuleta mabadiliko

Magufuli kachokwa mapema sana anafunga wapinzani awache free uone kilichomtoa kanga manyoya unatishika na uchaguz kupitia jeki za makada alowateua wakurugenz wakuu wa mikoa na wilaya gumbo arusha kawa mbunge toka alipoteuliwa na magufuli bado nguvu ya polis na mahakama hiv saiv zitto wanted kafanya jana mkutano unaitwa wa kichochez ccm wanashindwaje kushinda? hata mimi wasiposhinda ntawaona wajinga bondia mmoja kafungwa kamba mikono mwingine anarusha ngumi tu hiv huwa mnatathimini kweli?
Kama wapinzani wenyewe wanashindwa kijitetea wafanye mikutano unategemea watapata nguvu za kukutete wewe!?popote duniani upinzani huwa ni kuforce hakuna lelemama, ukiwa mpinzani,unashout mpka dunia inasikia uone kama jpm hataruhusu hyo mikutano,wao wapo wapo tu wanasubilia kulialia kwenye TV. eti juzi lowasa anasema kwa kuwa wamezuia mikutano ya majukwaani basi sisi rutajikita kufanya ya ndani ambayo ndo mizuri,"watu wachadema nao wakashangilia,lowasa anapenda kufanya mikutano akiwa amekaa,sasa za majukwaani hawezi tena..
Upinzani nikuforce kutenda na kusikika..
 
Kama wapinzani mwenyewe wanashindwa kijitete ili wafanye mikutano unategemea watapata nguvu za kukutete wewe!?popote duniani uponzani kuwa ni kuforce tu hakuna lelemama ukiwa mpinzani,unashout mpka dunia inasikia uone kama jpm hataruhusu hyo mikutano eti juzi lowasa anasema kwa kuwa wamezuia mikutano ya majukwaani basi sisi rutajikita kufanya ya ndani ambayo ndo mizuri,watu wachadema nao wakashangilia,lowasa anapenda kufanya mikutano akiwa amekaa,upinzani nikuforce kutenda na kusikika..

Ushaur wako ni mzur ili tuelekee kwenye civil war ,,,,, nchi yenyewe toka tupate uhuru haileweki mambo hovyo unataka hata hutu tu ghorofa twa lapf tuangushwe kwa tamaa za ccm?
 
Tatizo letu tunafikiria viongozi ndiyo kila kitu hebu tufike mahali tujiweke njia za kutoa taarifa.
Kunawatu wanatakiwa kuajiriwa kwa sababu hiyo,tatizo mbowe ruzuku yote ya chama anaifanya anachojua yeye unategemea nini,na sio uongo CDM kipindi cha slaa ilijijenga sana yani mpka kulea kwenye ngome za ccm alijitahidi kufungua matawi mpka chini kabisa ngazi ya mashina.kwa sasa haya matawi hayopo tena hakuna ufatiliaji yataibuka tena 2019 pathetic.!!
 
Ushaur wako ni mzur ili tuelekee kwenye civil war ,,,,, nchi yenyewe toka tupate uhuru haileweki mambo hovyo unataka hata hutu tu ghorofa twa lapf tuangushwe kwa tamaa za ccm?
Haha mkuu sipendi vita kabisa,Mimi nimekulia rusumo mpka na Rwanda iknow what I saw in 1994,sipendi vita kabisa.ila kwa hili la wapinzani kuwa kama makondoo tu wao kuongea mpka litokee tukio na maoperation yao yasiotekelezeka ni ujinga wa kiwango cha lami na kila mtu kwenye akili hana budi kuwadharau..wako kimya kuhusu tume huru,wako kimya kuhusu katiba Mpya sasa hawa watu ni wa nini!?
 
Kunawatu wanatakiwa kuajiriwa kwa sababu hiyo,tatizo mbowe ruzuku yote ya chama anaifanya anachojua yeye unategemea nini,na sio uongo CDM kipindi cha slaa ilijijenga sana yani mpka kulea kwenye ngome za ccm alijitahidi kufungua matawi mpka chini kabisa ngazi ya mashina.kwa sasa haya matawi hayopo tena hakuna ufatiliaji yataibuka tena 2019 pathetic.!!

Hahahahahah sasa hivi CDM hakuna walioajiriwa.Wewe ni wale wale tu,unafikiria kutokana na meneno ya UVCCM?Tatizo lako si Mwenyekiti wa Lindi,tatizo lako ni Mbowe nathing else.Pole sana hujielewi
 
Haha mkuu sipendi vita kabisa,Mimi nimekulia rusumo mpka na Rwanda iknow what I saw in 1994,sipendi vita kabisa.ila kwa hili la wapinzani kuwa kama makondoo tu wao kuongea mpka tukio na maoperation yasiotekelezeka ni ujinga wa kiwango cha lami na kila mtu kwenye akili hana budi kuwadharau..wako kimya kuhusu time huru,wako kimya kuhusu katiba Mpya sasa hawa watu ni wa nini!?

Vyote hivyo magufuli alivikataa lakin hakuna marefu yasiyo na ncha mkuu kuna siku mambo yakuwa tofaut tu
 
Yaan ninyi ccm huwa siwaelewi. Kama mmeona lowasa amechuja vlien ili uchaguz ujao msihangaike. Pia ni ujinga xana kwa tz kuamini ccm wanashnda kiuharali wakati wakurugenz ni makada, polisi wanatii amri ya mkuu, mwenyekiti wa ccm ndiye anayemchagua m/kiti wa tu. Mnachakachua afu mnajitokeza kwenye media na kusema mnapendwa na watz
 
Mkuu hili sio swala la kuwa addicted na lowasa,sio siri lowasa anakiua chama watu wanachoshwa nae,watu wa vijijini ambao ndo wapiga kula hawamuamini hata kidogo..nguvu za kumnadi lowasa ni kubwa mna kuliko siasa zenyewe..!

Siyo kweli kama hamjawa addicted na Lowassa msingehangaika naye maana mngefurahi sana kwamba vijijini watu hawampendi wanampenda mjumbe wa shetani anayetaka malaika waishi kama mashetani
 
Mwaka mmoja tu baada ya uchaguzi watu wako bize wanawaza uchaguzi ujao..safari ni ndefu!
 
Ni ushauri wangu tu kwa viongozi wa Chadema,nimekua nikisikia tetesi kwamba lowasa atagombea tena urais mwaka 2020,Chadema kama chama wanatakiwa Kutambua kwamba ccm imechokwa sana na wananchi lakini kitendo cha wao kuendelea kumkumbatia lowasa ni kuturudisha nyuma sana,
Ni ukweli usiopingika kwamba juku mitaani watu wengi hawamuamini lowasa,japo sijafanya research maalum lakini ukijaribu kufatilia utaligindua hilo,hasa wanawake na wale wapiga kula wasiofatilia sana mambo ya siasa,
Nawashauri chadema na viongozi wao wajitafakali upya na ikiwezekana hata Huyo mbowe wampige chini tu,
Watu hawana pa kuegemea kwa sababu ya huyo lowasa,kila mtu unae ongea nae anakwambia ccm wametuchosha lakini wapinzani hawaaminiki,watu wanoona ni bora waendelee kuchoshwa na ccm kuliko kuongozwa na watu wasio eleweka
Chadema wanajua kabisa adui wa uchaguzi wetu ni tume ya uchaguzi na katiba mbovu ,na hivyo ndo vitu vimekuwa vikilalamikiwa na upinzani kila baada ya uchaguzi,lakini cha kushangaza uchaguzi ukiisha hakuna mtu anafanya jitiada za kurekebisha hayo mambo,viongozi wapo tu wanatoa matamko yasiyotekelezeka,nakuhamasisha maandamano yasokuwa na maana.
Nawashauri Chadema waamke ama la sivyo watwambia kama na wao ni mapandikizi ya ccm,

Baada ya Dr slaa kuondoka sikuhizi hata elimu ya uraia huku vijijini hakuna tena,matawi yote yaliisisiwa na Dr slaa yanakufa,watu pekee utakao wakuta kwenye hayo matawi ni wale wanaomendea kugombea uongozi flani yani watu wapo kimaslai tu,Katibu mkuu wa sasa nae yupo yupo tu,
Tunaitaka Chadema ya kipindi kile mtu akitoa tamko serikali wanatikisika kweli sio Chadema hii inayokuja na operesheni mbuzi zisizo tekelezeka,Mara oparesheni "Kata funua" Mara sijui oparesheni "ukuta" ujinga mtupu ,mnatuchosha.
Amnatucho shamandamano yenye tija maandamano ya kudai tume huru ya uchaguzi au maandamano ya kudai katiba Mpya muone kama hamtaugwa mkono na kila mpenda democrasia duniani,
Chadema na mbowe mnatuchosha isingekuwa tamaa zenu sahizi upinzani ungekuwa ikulu na haya mashida masimango,njaa,matusi na machungu yote tunayoyapata yasingekuwepo.
Lowasa ndo Mungu wao, hahahaha wakati akiwa ccm walimuona chokolaa leo ndo Baba yao
 
chaguzi ndo kipindi slaa yupo chadema walishinda ngapi kabla ya kuweka huu uhalo.
 
chaguzi ndo kipindi slaa yupo chadema walishinda ngapi kabla ya kuweka huu uhalo.
Uharo ni wako wewe usojua maana ya kujenga chama mkuu, lowasa aliteleza tu kwenye ganda la ndizi kuna watu wamevuja jasho na damu kwa ajili ya hicho chama!!so wewe unahisi lowasa wiki alokaa kabla ya uchaguzi ndo aliongeza idadi ya kura!?ukapimwe akili!!
 
shida yenu achukiwe mmenoa lowasa sio lipumba lazima mkose usingizi mara mbowe jiuzuru tangu lini watu wa lumumba ndo mjue safu nzuri ya upinzani poor ngombe nyie
Kila mtu matusi anayajua kama huna la kuchangia kaa kimya tu!!
Tatizo la CDM ni kutopenda ukweli,mkiambiwa ukweli wanakuvisha u CCM haya twambie hyo lowasa wako kasaidia nini mpka sahivi mwaka baada ya kujiunga na CDM!!acha ujinga we ni mtu mzima!!
 
Uharo ni wako wewe usojua maana ya kujenga chama mkuu, lowasa aliteleza tu kwenye ganda la ndizi kuna watu wamevuja jasho na damu kwa ajili ya hicho chama!!so wewe unahisi lowasa wiki alokaa kabla ya uchaguzi ndo aliongeza idadi ya kura!?ukapimwe akili!!
Kapimwe akili wewe Lowasa aliongeza ubunge majimbo yote ya umasaini. Je kwenye mikoa mingine wabunge waliongezeka kiasi gani? KURA za Urais ziliongezeka kiasi gani?
 
Back
Top Bottom