unayedhani walio duce ni waliopata grade kidogo,hauko sahihi.mimi form six nina one ya 6,na nimesoma baccalaurate in philosophy urbaniana university of rome.sasa nasoma ualimu duce.you are certainly wrong
Hii ni nzuri maana chama kinaanza kujijenga ndani ya wasomi hii ni hatua moja ya muhimu baada ya hapo tuhamie vyuo vyote na kuchukua nafasi yetu wana CDM
Afadhali hawa wamefikia hapo walipo, je wale wanaokuwa indoctrinated toka wakiwa chipukizi ? Yaani mtoto anavalishwa kijani akingali anahitaji nepi halafu wewe eti unawashangaa wanachuo !
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.