Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 908
????????????????????????Kuna mtu amekwambia hapa ni Polish Post mpk utuletee ripoti ya matukio ya uhalifu?
Green Guards walikuwa wapi, au hujui kama CCM ina wanamgambo wa kigaidi?
My friend, with all due respect; umeandika utumbo ambao sikuwahi kutegemea kutoka kwakoKuna mtu amekwambia hapa ni Polish Post mpk utuletee ripoti ya matukio ya uhalifu?
Green Guards walikuwa wapi, au hujui kama CCM ina wanamgambo wa kigaidi?
Tatizo huwa mnakurupuka...hii kitu ipo hapa JF tangu jana mida ya saa tatu usiku...chanzo ni green guard wa ccm kuwateka madiwani wa cdm kutoka Moshi na kuwalazimu vijana wa cdm kwenda kuwaokoa madiwani wao na walifanikiwa...na gari moja la green guard lilifukuzwa na redbregade na kulazimika kukimbilia kituo cha polisi...waandishi wa habari walijikuta ni wahanga katika mazingira hayo...acha ushabiki usio na maana.
Kuna mtu amekwambia hapa ni Polish Post mpk utuletee ripoti ya matukio ya uhalifu?
Green Guards walikuwa wapi, au hujui kama CCM ina wanamgambo wa kigaidi?
Wakuu JF
Wafuasi wa Chadema jana walifunga Barabara ya Moshi-Arusha eneo la Maji ya Chai na kulishambulia gari walilokuwa limebeba waandishi wa habari.
Waliokuwa katika msafara wa CCM ulikuwa ukipita barabara hiyo ukitokea kata ya Leguruki.
Muda mfupi baadaye polisi walifika na katika eneo hilo na kuwatawanya wafuasi ho.
Katika hatua nyingine gari la wafuasi wa Chadema lilivamia mkutano wa CCM katika kata ya Leguruki na kutimua vumbi uwanjani hapo kwa muda kabla ya kuondoka na kutokomea kusikojulikana.
SOURCE MWANANCHI MACH 19.2012.