Umewaza kama mie.Na yule Mnyaturu alieamka asubuhi akasema amesikia sauti inamjia inasema Samia 5 tena, na yeye unataka arudi?. Na yule mnyiramba mke wa zamani wa tumbili anaegawa fedha kule kwao na yeye unataka arudi?
Fukuzeni tu na ikiwezekana mbaki peke yenu!Na yule Mnyaturu alieamka asubuhi akasema amesikia sauti inamjia inasema Samia 5 tena, na yeye unataka arudi?. Na yule mnyiramba mke wa zamani wa tumbili anaegawa fedha kule kwao na yeye unataka arudi?
Wabaki peke yao kina nani? Je unajuwa kwamba wasira alikuwa NCCR MAGEUZI????Fukuzeni tu na ikiwezekana mbaki peke yenu!
Ahahahahaha!!!Wabaki peke yao kina nani? Je unajuwa kwamba wasira alikuwa NCCR MAGEUZI????
Mwita mwikwabeAhahahahaha!!!
Mbona Mbowe hujamtaja au unamuogopa?Mwita mwikwabe
Nassar
Silence
Kitila
Mwambe
Lijua likali
Yule naibu wazir mwenye midomo.
Aliyekuwa katibu mkuu sasa DC
ongezeni na hao 19 ili MUUNGE MKONO JUHUDI VIZURI
Mbowe atajwe kwani amehama chama au amezira?Mbona Mbowe hujamtaja au unamuogopa?
Ahahahahaha!Mbowe atajwe kwani amehama chama au amezira?
Soma Tanzania Penal Code[CAP1 16] Section 301 na 302.Ukishasoma uje utufafanulie tena je hicho kitendo walichofanya hao COVID 19 ni halali kwa sheria za Tanzania?Kutokana na hali na mazingira mapya ya kisiasa ninashauri wale wabunge 19 warudishwe kujenga chama na kuongeza ushawishi kuelekea uchaguzi Mkuu kwa misngi ifuatavyo
1. Wabunge hawa pamoja na makosa waliyoyafanya lakini hawakuibagaza chadema wao waliendelea kujitetea uwemo wao bungeni na kutimiza majukumu ya kibunge.
2.kwenye siasa ni namna ya kucheza draft hakuna adui wa kudumu na rafiki wa kudumu.
3. waliondoka katika mazingira ya uongozi wa zamani uongozi wa chadema umebadilika na maono mapya. ni kipindi cha kujenga upya chama kwa kuwarejesha pia walikengeuka
4. Mara kadhaa wamekitetea chama bungeni rejeeni kauli za Bulaya na Mdee
5. So far hata wakirudi watabaki kuwa wanachama wa kawaida uchaguzi umekwisha kwenye maeneo yote. Hawana maamuzi ya kiuongozi hivyo watapimwa upya wakiwa wanachama wa kawaida
6. Naamini bado wana damu ya ki-chadema na wamekitumikia muda mrefu. Wapewe nafasi ya kuomba radhi kwa yaliyotokea na kisha washiriki kwenye ujenzi wa chama. Mabadiliko ya uongozi ndani ya Chadema kwa sasa yatumike kurejesha wote waliokikimbia chama kwa sababu mbalimbali. Hii ni siasa na siasa ni sayansi.
Vile vile Soma Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 ibara ya 66(1)(a) na (b) ili tuelewe kuwa hizi sheria au Katiba zipo kwa ajili ya nini?Kutokana na hali na mazingira mapya ya kisiasa ninashauri wale wabunge 19 warudishwe kujenga chama na kuongeza ushawishi kuelekea uchaguzi Mkuu kwa misngi ifuatavyo
1. Wabunge hawa pamoja na makosa waliyoyafanya lakini hawakuibagaza chadema wao waliendelea kujitetea uwemo wao bungeni na kutimiza majukumu ya kibunge.
2.kwenye siasa ni namna ya kucheza draft hakuna adui wa kudumu na rafiki wa kudumu.
3. waliondoka katika mazingira ya uongozi wa zamani uongozi wa chadema umebadilika na maono mapya. ni kipindi cha kujenga upya chama kwa kuwarejesha pia walikengeuka
4. Mara kadhaa wamekitetea chama bungeni rejeeni kauli za Bulaya na Mdee
5. So far hata wakirudi watabaki kuwa wanachama wa kawaida uchaguzi umekwisha kwenye maeneo yote. Hawana maamuzi ya kiuongozi hivyo watapimwa upya wakiwa wanachama wa kawaida
6. Naamini bado wana damu ya ki-chadema na wamekitumikia muda mrefu. Wapewe nafasi ya kuomba radhi kwa yaliyotokea na kisha washiriki kwenye ujenzi wa chama. Mabadiliko ya uongozi ndani ya Chadema kwa sasa yatumike kurejesha wote waliokikimbia chama kwa sababu mbalimbali. Hii ni siasa na siasa ni sayansi.
Na je ili uwe Mtanzania halali ni lazima uwe mwanachama wa CCM?(Soma Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 Ibara 3(1),8(1)a-d,12 na 13(1),(2),(4),(5).Kutokana na hali na mazingira mapya ya kisiasa ninashauri wale wabunge 19 warudishwe kujenga chama na kuongeza ushawishi kuelekea uchaguzi Mkuu kwa misngi ifuatavyo
1. Wabunge hawa pamoja na makosa waliyoyafanya lakini hawakuibagaza chadema wao waliendelea kujitetea uwemo wao bungeni na kutimiza majukumu ya kibunge.
2.kwenye siasa ni namna ya kucheza draft hakuna adui wa kudumu na rafiki wa kudumu.
3. waliondoka katika mazingira ya uongozi wa zamani uongozi wa chadema umebadilika na maono mapya. ni kipindi cha kujenga upya chama kwa kuwarejesha pia walikengeuka
4. Mara kadhaa wamekitetea chama bungeni rejeeni kauli za Bulaya na Mdee
5. So far hata wakirudi watabaki kuwa wanachama wa kawaida uchaguzi umekwisha kwenye maeneo yote. Hawana maamuzi ya kiuongozi hivyo watapimwa upya wakiwa wanachama wa kawaida
6. Naamini bado wana damu ya ki-chadema na wamekitumikia muda mrefu. Wapewe nafasi ya kuomba radhi kwa yaliyotokea na kisha washiriki kwenye ujenzi wa chama. Mabadiliko ya uongozi ndani ya Chadema kwa sasa yatumike kurejesha wote waliokikimbia chama kwa sababu mbalimbali. Hii ni siasa na siasa ni sayansi.
Chadema muwe waangalifu na hao wanaotaka kurudi chamani wengi wao wakiwemo wakina Mdee na kundi lake ni hatari kwa ustawi wa chama kwani wote ni mapandikizi ya ccm!! Akiwemo huyo mzee anaitwa Shibuda!!Hatuwarudishi wanachama wapo wengi sio nyie tu