Taswira,
Acha uwongo. Kama hujui kitu si lazima kujifanya mjuaji. Sabodo Kama alitoa fedha kwa malengo uliyotaja, weka hadharani 1) alikabidhiwa nani 2) alikabidhiwa tarehe ngapi?3) alikabidhiwa cheque na ngapi? 3) vyombo gani vya habari vilikuwepo wakati cheque inakabidhiwa na stori hiyo ilitoka kwenye gazette gani? WanaJF nimemwuliza maswali hayo kwa kuwa kwa spirit lie lie ya transparency, kila Sabodo alipokabidhi Cheque tulikuwa na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali. Aidha, kila Sabodo alipokabidhi na malengo ya msaada yalitolewa kwa vyombo vya habari vilivyokuwepo. Unapokuwa mwongo kwa kiwango hiki, ni dhahiri hata dhamira imekufa. Binadamu asiyejua na dhamira Hana tofauti na "'mnyama" kwa sababu ndiyo moja ya mambo yanayomtofautisha binadamu na 'mnyama! Ninawaheshimu sana vijana, ninawapenda wanaotoa ushauri mbalimbali, lakini spend mtu mwongo, kwa sababu, madhara ya uwongo ni makubwa sana katika jamii. Kama Taswira ni mkweli ataxia majibu ya hayo maswali ili aaminike mbele ya jamii. Sabodo yuko hai inakushinda nini kwenda kumwuliza, inakushinda nini kutuuliza Chadema Kama kweli ulna nia njema. Watanzania mpuuzeni huyo kwa kuwa ni mwongo aliyekubuhu.
QUOTE=Taswira;6002780]acha umbumbu kijana, Sabodo ametoa msaada mara ngapi wakawekeana mkataba?
Umeona zilipoelekea?
Haya sabado alitoa millon 400 kujenga chuo cha kilelea viongozi na vijana wa CHADEMA pale kibaha ..fedha zilitolewa mwaka 2010 hicho chuo umekiona?