Mikael Aweda
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 3,129
- 4,285
Hivi misaada ya Conservative kutoka kwa kina Cameroon Uingereza mmeona midogo mnatafuta mingine..
Lakini mtambue lazima misaada kuwepo na masharti kutoka kwa anaetoa msaada.
Mfano misaada ya Conservative masharti yake lazima mkubali ushoga. Na nyie ndio wafadhili wenu wakuu..
Mkuu,Sasa kuiongoza nchi yenu mnataka msaada kutoka nchi nyingine?mbona kama hapa sijawaelewa Magwanda.Msaada upi huo hasa mnaoutaka?na siku hizi hakuna vya bure mmejionea wenyewe US na UK wanataka tuwe mapunga.
Hapo kwenye red mkuu,
Kwani ile msaada wa mabilioni uliotolewa na uingereza kwa serikali ya ccm miezi miwili iliyopita wakati mjadala wa ushoga ukiwa unaendelea unataka kusema kwamba hicho kipengele cha ushoga serikali ya ccm iliiridhia? Chadema katiba yetu inazungumzia familia, hatutambui ushoga. Ni swali tu.
Misaada mtapewa lakini hofu yangu ni kwenye malipo,mtawalipaje?
Hivi misaada ya Conservative kutoka kwa kina Cameroon Uingereza mmeona midogo mnatafuta mingine..
Lakini mtambue lazima misaada kuwepo na masharti kutoka kwa anaetoa msaada.
Mfano misaada ya Conservative masharti yake lazima mkubali ushoga. Na nyie ndio wafadhili wenu wakuu..
Mwenyekiti - Mbowe ------mchaga.
Katibu Padre Slaa ------mtu wa karatu
mwenyakiti Bavicha ...... ??
Katibu Bavicha ---Mchaga
Mwenyekiti wanawake ----- Mchaga
katibu wanawake ...????
kazi ipo.
Yaani kuomba msaada ndio good speech! Chadema bana
Mwenyekiti - Mbowe ------mchaga.
Makamu mwenyekiti - Arfi----- mchagga
Katibu Padre Slaa ------mtu wa karatu
Naibu Katibu - Zitto ----- mchagga
Mwenezi - Mnyika ----- mchagga
mwenyakiti Bavicha ...... ?? ----- mchagga
Katibu Bavicha ---Mchaga
Mwenyekiti wanawake ----- Mchaga
katibu wanawake ...???? ----- mchagga
hadi mbunge aliyefariki ni mchagga na atazikwa kwao huko kilimanjaro
kazi ipo.
Mwenyekiti - Mbowe ------mchaga.
Katibu Padre Slaa ------mtu wa karatu
mwenyakiti Bavicha ...... ??
Katibu Bavicha ---Mchaga
Mwenyekiti wanawake ----- Mchaga
katibu wanawake ...????
kazi ipo.
Mi nilijuwa ni Serekali ya TZ tu ndio Omba Omba kumbe na nyie ndio wale wale.
Huyu hapa, mmojawapo wa viumbe ambao wanakimbilia kuangalia ni jina la wapi na dini gani!!! Kwa akili yake mtu kutoka Karatu hafai, na kwa unafiki wake na wa asili yake hatawataja hapa wengine kina Lissu, Zitto, Mnyika,Arfi, nk...Mwenyekiti - Mbowe ------mchaga.
Katibu Padre Slaa ------mtu wa karatu
mwenyakiti Bavicha ...... ??
Katibu Bavicha ---Mchaga
Mwenyekiti wanawake ----- Mchaga
katibu wanawake ...????
kazi ipo.
Haahaaahaaaa! Halafu ukimfuatilia huyu utakuta ana dini! Na inawezekana dini yake inamkataza kuwa mnafiki!!!Kweli kazi ipo; halafu wote wakristu!!!
Angalia akili yako ilivyo, hao marafiki unao wafata ndio wale wale wakoloni.Kama tuliwasaidia Msumbiji/zimbabwe kumwondoa mkoloni kwa nini mataifa rafiki yasiisaidie chadema kulikomboa Taifa?
Angalia akili yako ilivyo, hao marafiki unao wafata ndio wale wale wakoloni.