Chadema wanatafuta tu umaarufu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema wanatafuta tu umaarufu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nickname, Jan 12, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. nickname

  nickname JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 516
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Mimi naona kuwa CHADEMA wanatumia siku ya mapinduzi ya Zanzibar kuaga watu waliokufa kwenye maandamano ya CHADEMA kama njia moja wapo ya KUJIONGEZEA UMAARUFU.

  Kweli siasa ni mchezo mchafu na KUFA KUFAANA .CHADEMA wanatupeleka wapi??


  NB: Hayo ni mawazo yangu binafsi
   
 2. s

  seniorita JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mawazo finyu hayo ndugu yangu; I am glad umesema ni mawazo yako! Yes, there are dates that are decisive dates such as kuwaaga mashujaa wa CDM siku ya mapinduzi....lakini hata wangeagwa siku gani, bado chadema umaarufu wake utaendelea kuwepo kwani kinachowafanya chadema kuwa maarufu si mapinduzi ya Zanzibar, bali mapinduzi ya ki-iitikadi, mapinduzi ya mawazo, it is their ideology, their love for the nation and for the people, the love for truth....and integrity....their values...and much more which you need to critically take into account na sio tu kulipuka na kutamka the unthinkable...all the same history is written in Arusha, by Chadema, and in Tanzania and no one can reverse it or stop it....Wenye kulalama waendelee kulalama, wa kufanya kazi ya ukombozi tutafanya tu in spite of everything....FREEDOM is COMING...FREEDOM has COME...and FREEDOM will Continue to COME with people and by people like those who lost their lives and by the likes of CDM....
   
 3. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,163
  Likes Received: 1,122
  Trophy Points: 280
  .....kwa hiyo Nickname una-conclude nini? unapendekeza tarehe gani? umaarufu anautafuta Andengenye na Ustaadh Alhaji Mwema
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hiyo NB.... Kwangu ina maana kuna guilty conscious
   
 5. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Sio upupu per se... You people are not really let by logic, rather emotions..!! It is a valid proposition... as the philosophy dictates... "KUFA KUFAANA".
   
 6. nickname

  nickname JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 516
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Thank you,I forgot to include that saying in my thread
   
 7. s

  seniorita JF-Expert Member

  #7
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Emotions/heart/soul and logic/mind cannot be separated. You cannot simply use logic without emotions and vice versa....plus your so called philosophy dictum is out of context in this respect....kufa kwa wana chadema wa Arusha kunamfaa nani katika mawazo yako? Think bit deeper my friend
   
 8. nickname

  nickname JF-Expert Member

  #8
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 516
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Umeongea vizuri na kwa mtazamo wa juu juu uko sahihi.Lakini fikiria kwa undani sana na utanielewa.Kwa nini CHADEMA wapore shughuli nzima ya kuaga maiti na hata mazishi na kuifanya ya kwao? jiulize kama sio kutafuta press coverage na kujiongezea wafuasi basi ni nini?
   
 9. L

  LAT JF-Expert Member

  #9
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  what is wrong if CDM wakipata press coverage... does it affect you....pili pili ya shamba
   
 10. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #10
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kwa kuwapiga mabomu na kuwaua wana-Chadema, CCM ilikuwa pia inatafuta umaarufu, lakini imekula kwao.
   
 11. nickname

  nickname JF-Expert Member

  #11
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 516
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  It is wrong for CHADEMA to get press coverage based on the particular approach.They made illegal demonstration and cause the deaths to happen.Nina uhakika kama CHADEMA wasingefanya maandamano basi asingeuawa mtu.Walifanya maandamano ili lolote likitokea basi wao wapate press coverage.Hii ni mbinu iliyotumiwa kukuza chama

  I believe that Police forces are guilty.Ila CHADEMA wasifanye suala la kuaga miili na mazishi kuwa political issue.
   
 12. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #12
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45

  Naomba ufafanuzi zaidi, Mapinduzi ya Zanzibar yana uhusiano gani na mazishi ya watu huko arusha?

  kama ulivyo sema ni mawazo yako, inadhibitisha jinsi ulivyo na mawazo finyu na inaonesha ulivyo na huna tofauti ya hao uliowataja kuwa huna uhusiano nao.
   
 13. comorado

  comorado Member

  #13
  Jan 12, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 15
  Akili ake mbovu polisi wanawauwa watanzania wenzake wasiokuwa na hatia simply 2 walikua wanataka kuelezea umma hisia zao jinsi wasivofurahishwa na mambo yanavyoendelea katika tanzania etu unasema kufa kufaana. Kweli we have along way 2 go poor nickname. rip companero aluta continua
   
 14. L

  LAT JF-Expert Member

  #14
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  acha propaganda wewe ..... kinachofanyika arusha ni nini...? akili yako ina ncha kali..... unaonyesha una think tank ya chuki na wivu.... huna ukomavu wa kisiasa kama makamba.... ingawa yawezekana unamaslahi kwa kuropoka
   
 15. s

  seniorita JF-Expert Member

  #15
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  CCM ikitafuta umaarufu at all costs, whether kwa kuiba kura, au kuua etc is not an issue; but when CDM honors their heroes then it become an issue of umaarufu, what else can anti CDM not say?
   
 16. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #16
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135  jiamini na post yako lkn kama mwenyewe unahisi inafanana na ya hao kwenye red basi hujakosea
   
 17. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #17
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Chadema bado si wapiganaji kisiasa ,mbinu wanazotumia ni ndogo sana ,nguvu za Umma haziwezi kuplay part katika siasa za kiafrika ,viongozi bado ni wababe wakiwa wamemiliki vyombo vyote vya dola ,hivi kwanini kila mkuu wa mkoa anakuwa mwanajeshi,basi tusijidanganye kuwa nguvu za umma zitaishinda serikali ya Kiafrika,Zanzibar walijaribu na walifanikiwa kukusanya umati kutoka kila pembe,habari za kiintelejinsia zilizodakwa na CUF ni kuwa watauliwa watu kama kuku na hakutakuwa na mswalie mtume na habari hizo zilipatikana ndani ya usalama wa Taifa maana kila kwenye mamba na kenge hawakosi,ni vyema Chadema mkajipanga ndani ya serikali ya CCM na vyombo vyake vya dola ili kudhibiti mauaji yasitokee.
   
 18. nickname

  nickname JF-Expert Member

  #18
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 516
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Ni bora mka focus kwenye Topic na mjibu hoja.Na ajitokeze mtu mwerevu ajibu hoja yangu kiufasaha kabisa.Acheni matusi na usitoke nje ya mada.

  Ok Mwiba hapo sawa.
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 20. L

  LAT JF-Expert Member

  #20
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  martyrdom kama 5/01/2011..... wewe mwiba umetoroka Guantanamo
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...