chadema always siwakurupukaji niwasomi wenye uelewa mpana"hawakuanza na mdrasa wao walianza na chekechea"hivyo wanachokifanya siyokuiga cuf chadema the're thinking big!wanamdhihirishia jk kwamba ushindi ulilnao chadema haiukubali ila lazima tuwatumikie wananchi waliotuchagua lakini siyo kukusikiliza wewe ambaye unaushindi tata.
muafaka wa zanzibar umekuja baada ya wafuasi wa cuf kupoteza maisha yao na wengine kuwa wakimbizi kenya na somalia, hivyo kama wafuasi wa chadema wakotayari kujitoa mhanga na kuhimili misukosuko ya kisiasa kama walivyopitia akina ngangari basi labda kutakuwa na uwezekano wa kuunda serikali ya mseto wa ccm na chadema! Vinginevyo chadema wasahau kutawala tz!!!!
baada ya wabunge wa CUF kususia hotuba za Rais wa Zenji miaka iliyopita na Maalim Sefu kuwa na mazungumzo na balozi za USA na EU na matokeo yake ni miafaka hewa na mwisho ni maridhiano ya kuunda serikali ya umoja wa kitaifa!
Jee, kususia hotuba ya Rais Jk, inamaana Chadema wanataka kufuata nyayo za Cuf ili kuwa na miafaka na baadae kuunda serikali ya mseto miaka ya baadae? Maana tumeshaona slaa akitembelea balozi za Amerika na kufanya mazungumzo ya siri na umoja wa ulaya!
Muafaka wa Zanzibar umekuja baada ya wafuasi wa cuf kupoteza maisha yao na wengine kuwa wakimbizi Kenya na Somalia, hivyo kama wafuasi wa chadema wakotayari kujitoa mhanga na kuhimili misukosuko ya kisiasa kama walivyopitia akina Ngangari basi labda kutakuwa na uwezekano wa kuunda Serikali ya mseto wa CCM na Chadema! vinginevyo chadema wasahau kutawala TZ!!!!