CHADEMA wanatafakarisha sana

Nchi imewashindeni ndo maana mnaangaika na chadema na mbowe.endeleeni kudemka uku siku zikiwatupa mkono.hamna jipya nyie.
 
Kama hakuna checks and balances tungeshuhudia askari wakipiga bakora raia mitaani. Tungeshuhudia wananchi wanapigana mapanga uraiani.

Tume ya uchaguzi ni independent body, mengine tulishazoea kuyasikia.
 
Huoni askari wakitumia live bullets mahali pasipotakiwa kutumika wakamuondoa uhai Akwilina?

Kuna mtu yeyote alikua held accountable kwa kifo cha yule binti??
 
Huoni askari wakitumia live bullets mahali pasipotakiwa kutumika wakamuondoa uhai Akwilina?

Kuna mtu yeyote alikua held accountable kwa kifo cha yule binti??
Acha kuongea masuala usiokuwa na hakika nayo.
 
Acha kuongea masuala usiokuwa na hakika nayo.
Unahitaji uhakika upi?

Au why Mbowe akamatwe bila kosa kwa kuplan eti 'kuua ' viongozi huku tunaambiwa ushahidi upo mara haujakamilika?

Huku watu walijaribu kumuua Lissu kwenye makazi ya viongozi yenye ulinzi na hadi leo hawajajulikana

Hivi CCM mnadhani wananchi ni wale wale wa 1970 zidumu fikra za mwenyekiti?

CCM lini mtasimama kwa miguu yenu bila polisi! ?

Hiyo siku yaja!
 
Kama ushahidi haujakamilika mbona atasomewa commital? Kama hana kosa mbona amepelekwa mahakamani?
 
Ushahidi upi?

Wa kuambiwa kuwa Mbowe alienda kujificha Kenya ila amerudi ndio wakaona wamkamate? Insane
Moja ya kesi ambazo Jamhuri imetenda haki kuziwahisha ni hii. Habari kuwa alijificha au la wewe huna uhakika. Subiri ikianza kurindima upate ukweli.
 
Moja ya kesi ambazo Jamhuri imetenda haki kuziwahisha ni hii. Habari kuwa alijificha au la wewe huna uhakika. Subiri ikianza kurindima upate ukweli.
Sina uhakika wakati mkuu wenu amesema hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…