Umepigia jibu mstari.Mkuu wajinga ndio waliwao. Ila nasikia jamaa ana mganga wake kule nigeria ambae humsaidia kukusanya akili za wanachama wake na kutembea nazo mfukoni. Haiwezekani kwa mtu mwenye akili zake timamu tena msomi akubali kuongozwa na huyu jamaa. Hapa kuna namna sio bure!
View attachment 1886391
Kwamba Executive ni mhimili uliojichimbia ndio sababu kuwa utaingilia mahakama? Sio kweli. Zipo kesi nyingi tu ambazo serikali ilishabwagwa.Kuna uhuru wa mahakama Tanzania?
Tuanzie hapo, kwa Katiba iliyopo Rais amepewa madaraka na nguvu kubwa kupitiliza.
Rejea alichojibiwa Paschal Mayalla na Jiwe kuwa mhimili huo umejichimbia chini zaidi kuliko yote! Guess what dude there is no checks and balances!
Sio ajabu matokeo ya udiwani, ubunge yanaweza kupingwa mahakamani ila ya urais kamwe hayahojiwi kokote! Kubwa la yote ni Rais ana kinga ya kutoshitakiwa awapo au atokapo madarakani!
Wateule 90% wanatokana na yeye wakiwemo watu wa Judiciary! Je unahitaji nini hapo kujua nini zaidi hapo??
Jibu ni kuwa hatuna mahali pa kumuwajibisha huyo yeyote awaye Rais akilewa madaraka!
Kwani hulijui hilo kwa Tanzania hakuna "checks and balances"?Kwamba Executive ni mhimili uliojichimbia ndio sababu kuwa utaingilia mahakama? Sio kweli. Zipo kesi nyingi tu ambazo serikali ilishabwagwa.
Kwa tabia zetu za kitanzania na kiafrika,inafaa ilifike mahali tuelekezane kwa vitendo, kilichokuwa sahihi na kilichokuwa kibaya.Kwahiyo serious dealing with political affairs ni kushika opposition people more than 1,000 unafunga jela bila hata judicial procedure ni njia sahihi unayosemea?
Opposition people are in the business of helping themselves politically,they are not here to help the government in its businesses,ulitaka wafanye nini kwa mfano?
Vipi kuhusu genge lako ,lenyewe linaonwaje?Siro: Chadema wanamuona Mbowe malaika.
Watu elfu moja wamefungwa wapi?Kwahiyo serious dealing with political affairs ni kushika opposition people more than 1,000 unafunga jela bila hata judicial procedure ni njia sahihi unayosemea?
Opposition people are in the business of helping themselves politically,they are not here to help the government in its businesses,ulitaka wafanye nini kwa mfano?
MagaidiVipi kuhusu genge lako ,lenyewe linaonwaje?
Hebu weka takwimu hapa tuoneHuna idadi mkuu?
Kua serious wewe
Watu wote waliofungwa mahabusu kwa kesi za kisiasa tangu uchaguzi mkuu mwaka jana mpaka leo hii wanazidi 1,000!
Go get your numbers right!
Kwa kawaida binadamu anapoamua kuwa mnafiki,mbinafsi huwa ni hatari zaidi ya nyoka, na hiyo imekuwa tabia ya mtanzania.Bila kufuata sheria?
Maana we opposition we have our job to do
Hivyo kuja kutuingilia eti sababu tu mna madaraka ni kukoswa akili tu!
Mmemfunga Mbowe,ila kelele zinazopigwa mpaka mnajinyea wenyewe,mtamuachia na hakuna mnaloweza fanya,ndio kwanza fujo zimeanza!
Mnachofeli mnadhani kumfunga mtu jela ni kama mmemuua,thats not true,cha maana mngeua kabisa!
Jela kila siku opposition wanaingia na wanatoka na vyama vipo mpaka kesho,regardless opposition ipo to the maximum!
Mtashika hawa,mtashika wale,ila vyama vipi na watu hawaishi!
Ni hivi! Huwezi kuleta maana hunaGo check for yourself
Sipo hapa kumsaidia mtu mzima kumpa data....hunilipi chochote,fanya mwenyewe kwa nguvu zako mwenyewe