Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 6,337
- 5,296
Wanamshauri Mwenyekiti akiwa bado Lupango? Endelea kutupa za ndani.Taarifa za ndani Viongozi wa Chadema wameeendelea Kumshauri Mwenyekiti wa Chama Chao Tundu Lissu kuhusu kushiriki Uchaguzi kwa njia yeyote
Kifo cha hicho chama kilitabiriwa miaka mingi lkn mpaka baadhi ya waliokuwa wakikitabiria kifo hicho walishafariki halafu hicho chama kipo tu sijui ni kwa nini?Taarifa za ndani Viongozi wa Chadema wameeendelea Kumshauri Mwenyekiti wa Chama Chao Tundu Lissu kuhusu kushiriki Uchaguzi kwa njia yeyote kwa maana ni vigumu kuzuia Uchaguzi na watanzania wanaendelea na Shughuli zao kama kawaida.
Taarifa za zaidi zinasema Viongozi wa Dini wamekua wakishawishi kuingia kwenye uchaguzi huu ili hatma ya Chama hicho kisifikie Ukomo.
Baada ya mivutano ya Kuibuka kwa Kikundi cha G55 na kutimukia Chauma viongozi hao wa zamani wamefungua milango kwa wanachadema waliopo tayari kujiunga na Chauma na kuwapa uhakika nafasi za kugombea za Udiwani na Ubunge huku waliokua Team Mbowe wakioneakana kukosa sauti ndani ya Chadema na kuitwa wasaliti .
Mwezi wa 6,7,8 siasa ya Tanzania itashudia mambo makuu mawili.
GM
Docs zilizokwisha jadiliwa na vikao vya vyama vyote, unaviita jina la upendo kiasi hicho!Sasa watashirikije na hawakusain ile takataka ya inec?
MaridhianoSasa watashirikije na hawakusain ile takataka ya inec?
hata waliosaini hzo takataka bado wanasema zina mapungufu,Docs zilizokwisha jadiliwa na vikao vya vyama vyote, unaviita jina la upendo kiasi hicho!
kumbe!!!Maridhiano
Wapo tayari kutumia Viongozi wa Dini kuyajenga upya
MPaka Sasa Mazungumzo yanaendelea
Dkt Slaaa aliwashauri chadema wasiache kusaini zile fomu ila haraka Heche alisema hakuna kisaini na Katibu Mkuu alitii magizo yale.
Chadema mpaka sasa wanaendelea kushutumiana huku baadhi ya mawakili wameanza kutafuta majukwaa mengine kufanya siasa zao
No Reforms No Election.Taarifa za ndani Viongozi wa Chadema wameeendelea Kumshauri Mwenyekiti wa Chama Chao Tundu Lissu kuhusu kushiriki Uchaguzi kwa njia yeyote kwa maana ni vigumu kuzuia Uchaguzi na watanzania wanaendelea na Shughuli zao kama kawaida.
Taarifa za zaidi zinasema Viongozi wa Dini wamekua wakishawishi kuingia kwenye uchaguzi huu ili hatma ya Chama hicho kisifikie Ukomo.
Baada ya mivutano ya Kuibuka kwa Kikundi cha G55 na kutimukia Chauma viongozi hao wa zamani wamefungua milango kwa wanachadema waliopo tayari kujiunga na Chauma na kuwapa uhakika nafasi za kugombea za Udiwani na Ubunge huku waliokua Team Mbowe wakioneakana kukosa sauti ndani ya Chadema na kuitwa wasaliti .
Mwezi wa 6,7,8 siasa ya Tanzania itashudia mambo makuu mawili.
GM
Unabet sioTaarifa za ndani Viongozi wa Chadema wameeendelea Kumshauri Mwenyekiti wa Chama Chao Tundu Lissu kuhusu kushiriki Uchaguzi kwa njia yeyote kwa maana ni vigumu kuzuia Uchaguzi na watanzania wanaendelea na Shughuli zao kama kawaida.
Taarifa za zaidi zinasema Viongozi wa Dini wamekua wakishawishi kuingia kwenye uchaguzi huu ili hatma ya Chama hicho kisifikie Ukomo.
Baada ya mivutano ya Kuibuka kwa Kikundi cha G55 na kutimukia Chauma viongozi hao wa zamani wamefungua milango kwa wanachadema waliopo tayari kujiunga na Chauma na kuwapa uhakika nafasi za kugombea za Udiwani na Ubunge huku waliokua Team Mbowe wakioneakana kukosa sauti ndani ya Chadema na kuitwa wasaliti .
Mwezi wa 6,7,8 siasa ya Tanzania itashudia mambo makuu mawili.
GM
breaking news ya CDM kutoka kwa mwanaCCMTaarifa za ndani Viongozi wa Chadema wameeendelea Kumshauri Mwenyekiti wa Chama Chao Tundu Lissu kuhusu kushiriki Uchaguzi kwa njia yeyote kwa maana ni vigumu kuzuia Uchaguzi na watanzania wanaendelea na Shughuli zao kama kawaida.