hata SATA na OBAMA walitumia mbinu hizo hizo,lakini ukiingia madarakani ndipo utagundua mambo magumu kweli kweli.Kuwa RAIS au kuunda serikali si ishu ya kitoto au mambo ya mzaha,kuna masuala nyeti ambayo yanachangamoto kila siku.Mbwembe za nguvu ya UMMA imewagarimu LIBYA na MISRI hali imekuwa mbaya zaidi.Je na sisi tuige upuuzi huo? tutumie Demokrasia VIZURI bila JAZBA au kudharau manikio yaliyopatikana hata kama ni 1%.Leo hii CHADEMA ina wabunge 48 lakini majimbo ya mfano ni 3 tu toka waanze mbwembwe zao.Tunataka wajikiite kuyaboresha majimbo 45 ili tuwape dhamana na MAJIMBO mengine badala ya kuandamana na kuleta uchochezi kwa SERIKALI ishindwe kutimiza wajibu wao.IPO siku watanzania wataamua kuwapa kura za RAIS lakini si 2015....yaani baadaye sana.CCM bado ina hazina ya VIONGOZI ambao wana PROFILE za kiuongozi unaoheshimu utawala wa sheria.
CCM wanaitumia vizuri demokrasia?hata SATA na OBAMA walitumia mbinu hizo hizo,lakini ukiingia madarakani ndipo utagundua mambo magumu kweli kweli.Kuwa RAIS au kuunda serikali si ishu ya kitoto au mambo ya mzaha,kuna masuala nyeti ambayo yanachangamoto kila siku.Mbwembe za nguvu ya UMMA imewagarimu LIBYA na MISRI hali imekuwa mbaya zaidi.Je na sisi tuige upuuzi huo? tutumie Demokrasia VIZURI bila JAZBA au kudharau manikio yaliyopatikana hata kama ni 1%.Leo hii CHADEMA ina wabunge 48 lakini majimbo ya mfano ni 3 tu toka waanze mbwembwe zao.Tunataka wajikiite kuyaboresha majimbo 45 ili tuwape dhamana na MAJIMBO mengine badala ya kuandamana na kuleta uchochezi kwa SERIKALI ishindwe kutimiza wajibu wao.IPO siku watanzania wataamua kuwapa kura za RAIS lakini si 2015....yaani baadaye sana.CCM bado ina hazina ya VIONGOZI ambao wana PROFILE za kiuongozi unaoheshimu utawala wa sheria.