Ni ngumu kumuelewa mtu mwingine kama wewe mwenyewe tu hautaki kujielewa nakuacha ivyo ivyo.Ukawa au Ukuta mbona hamueleweki?
Ukawa ikawa iko wap, wewe kweli bado upo usingizini hiyo ni kushika ukuta, mbatia hayumo Maalimu na Duni Haji aka mzee wa chaliiii hawa more, ukawa ilikuwa ya kuivusha cdm kutoka kwenye matatixo ilokuwa nayo wakati huo, pole nenda kashikishwe ukutaIyo ilikuwa 90,hii ni 2016 pia iyo ilikuwa ni CUF peke yake ila hii ni UKAWA.(jishtukie)
Kila thread upo we ni nomaUkawa au Ukuta mbona hamueleweki?
Ibara ya ngapi ya katiba imevunjwa?Naona umeandika kimwwndokasi tu,huna hoja na zaidi unapotosha!Upinzani wanapinga uvunjwaji wa katiba unaofanywa na Serikali,wanatumia mikutano ya siasa kuuelezea umma juu ya ubakaji huo demokrasia!Mikutano iko kikatiba na ni haki ya vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu
Wee ndiyo boya ujui hata km 1990 nchi ilikuwa ktk mfumo wa single partyIyo ilikuwa 90,hii ni 2016 pia iyo ilikuwa ni CUF peke yake ila hii ni UKAWA.(jishtukie)
Upinzani wa wapi umeimarika?Tatizo la chadema ni lipi kwani wao Kama chama cha siasa kutetea uhuru wao wa kufanya kazi Yao ya siasa ni kosa? Na hata huo mfano wako wa cuf na mahita je Nani alishinda? Mahita kastaafu lakini siasa inazidi kukua walitumia propaganda ya udini na vurugu lakini cuf ikazidi kukua na sasa ccm imepoteza mwelekeo wakati upinzan unazidi kuimarika huwezi kuzuia siasa kwani hapo ndipo watu hutoa Yao ya moyoni kuhusu serikali Yao na fahamu unapomzuia mtu kusema yaliyopo moyoni unatengeneza bomu kubwa ambapo baadae utajutia mfano mdogo ni Libya gadafi aliwanyima watu fursa ya kutoa ya moyoni nadhani uliona yaliyotokea ingawaje sasa wananchi wenyewe wanateseka
Ibara zote izo zimetamka kwa mujibu wa sheria, mikutano imezingatia sheria ya vyama vya siasa? Sheria ya usalama wa taifa? Na sheria ya jeshi la polisi?View attachment 377857
Kasome ibara ya 18 na 20,pia soma haki na wajibu wa vyama vya siasa!