Chadema huwawezi, ndiyo waliokataza serikali kuhamia dodoma na kupendekeza izidi kuwekeza Magogoni na kushauri lijengwe jengo jipya pale Ikulu, Chadema kweli hatuwawezi, hata KULALA wameamua HAKUNA MPAKA KIELEWEKE, haki ya mungu nauza kitanda ili hata kikija kueleweka mimi niendelee kukesha tuone nani mjanja.