Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,683
- 2,158
Naanza kuiona taswira ya wapinzani kuchukua dola ya Tanzania hasa baada ya huu umoja wao katika UKAWA! Hii ilikuwa tamaa yangu ya mda mrefu kuona wapinzani wanaungana pamoja. Japo si shabiki wa siasa, lakini nilikuwa nikijiuliza na wakati mwingine kuwapa changamoto rafiki zangu wanaoshabikia siasa. Kwanini MAREKANI mfadhili mkuu wa vyama vingi duniani wana vyama viwili tu vikuu!? Naamini UKAWA ni mwanzo mzuri! Hongera CHADEMA kwa influnce,Mtaalam MBATIA na PROF. LIPUMBA kwa kuelewa umuhim wa umoja
ww ni mfwasi wa siasa siku nyingi tu marekani haina vyama 2vya siasa tu vipo vingi ila vikubwa ni 2 tu democrat na republic kuhusu muungano wa ukawa hapo sina jibu kwani nawajuwa viongozi wetu wa siasa hawkawii kubadilika hapo nitapita tu

Uthubutu huu wa UKAWA tuwatie moyo ikiwezekana nasi tuwe na vyama vikubwa viwili, ccm na UKAWA.

Hapo ccm watahaha kwelikweli. Hivi kwanini kila hafla mgeni rasmi ni kikwete, mbona wakati wa mkapa aliwapa mawaziri wake nafasi hiyo wakati mwingine.
Uthubutu huu wa UKAWA tuwatie moyo ikiwezekana nasi tuwe na vyama vikubwa viwili, ccm na UKAWA.
Swadakata! hakuna haja ya kuwa na vyama lukuki na vyote kusimamisha mgombea mwisho wa siku wanaishia kunyang'anyana kura za upinzani! Wakubaliane ili mwisho wasiku asimame mmoja!
UKAWA oyeeeeeeeeeee.
ww ni mfwasi wa siasa siku nyingi tu marekani haina vyama 2vya siasa tu vipo vingi ila vikubwa ni 2 tu democrat na republic kuhusu muungano wa ukawa hapo sina jibu kwani nawajuwa viongozi wetu wa siasa hawkawii kubadilika hapo nitapita tu
Kuuza suraHapo ccm watahaha kwelikweli. Hivi kwanini kila hafla mgeni rasmi ni kikwete, mbona wakati wa mkapa aliwapa mawaziri wake nafasi hiyo wakati mwingine.