CHADEMA wamechambuka chambuka

CHADEMA wamechambuka chambuka

Kivumishi Kielezi

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2019
Posts
1,028
Reaction score
2,453
Hivi hii ajenda ya chadema ya kukutana na Mama samia waliitoa wapi? na malengo yake haswa ni ni nini?

Sheria zipo, Katiba zipo, taratibu zipo!

Katiba imesema mikutano ruksa, sheria zimesema mikutano ruksa!! Tofauti na hapo ni udikteta wa makusudi tu!

Wanataka kukutana na samia ili iweje? Kwamba wambembeleze asivunje katiba?

Pamoja na kwamba huenda ina malengo mazuri, sioni ni kwa namna gani wamejipanga.

Mmoja yupo Ubelgiji, mwingine Canada, na mwingine yuko Lupango kwa mashtaka ya Ugaidi.

Wanakutana na samia kwa namna gani? kupitia video conference ama?

Kusema kweli wamechambuka chambuka! Hawaeleweki yaani ni full mvurugano!

Ndio maana huyo mama yao ameamua kuwapiga kibuti cha kisiasa.

Leo kaenda malawi kula bata.
 
Mkuu

Hiko kikao kingekua ni cha maridhiano na si vingenevyo.

Mama baada ya kuona kua hawezi kuridhiana akaamua kuusambaratisha upinzani ili iwe rahisi kwake kutokutana na wapinzani
yaana anaonyesha hataki au hapendi kuridhiana.

Anaonyesha ana tabia zote za mwendazake!
 
Hivi hii ajenda ya chadema ya kukutana na Mama samia waliitoa wapi? na malengo yake haswa ni ni nini?

Sheria zipo, Katiba zipo, taratibu zipo!

Katiba imesema mikutano ruksa, sheria zimesema mikutano ruksa!! Tofauti na hapo ni udikteta wa makusudi tu!

Wanataka kukutana na samia ili iweje? Kwamba wambembeleze asivunje katiba?

Pamoja na kwamba huenda ina malengo mazuri, sioni ni kwa namna gani wamejipanga.

Mmoja yupo Ubelgiji, mwingine Canada, na mwingine yuko Lupango kwa mashtaka ya Ugaidi.

Wanakutana na samia kwa namna gani? kupitia video conference ama?

Kusema kweli wamechambuka chambuka! Hawaeleweki yaani ni full mvurugano!

Ndio maana huyo mama yao ameamua kuwapiga kibuti cha kisiasa.

Leo kaenda malawi kula bata.
Wanaitamani Chai na juice ya Ikulu.
 
Chadema ni project kubwa kwa waganga njaa bila kuandika na kupost kuichamba na kuibagaza cdm hawali
 
Back
Top Bottom