CHADEMA waliwahi kuhusishwa na Matukio ya Utekaji na Utesaji, je Tume iliundwa kuwachunguza?

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,894
20,375
Gazeti la Jambo Leo Mwezi Machi 2015 lilichapisha habari ya Kikundi Cha Ulinzi cha CHADEMA maarufu kama Red Brigade kuwa kinajihusisha na Matukio ya Utekaji na Utesaji. CHADEMA hawajawahi kukanusha madai haya.

Kikubwa zaidi, CHADEMA hawajawahi kuja na mapendekezo ya kuitaka Serikali kuunda Tume ya kuwachunguza kutokana na kuhusishwa na matukio hayo. Je CHADEMA wana Double Standard?

IMG-20170413-WA0029.jpg
 
Gazeti la Jambo Leo Mwezi Machi 2015 nilichapisha taarifa ya Kikundi Cha Ulinzi cha CHADEMA maarufu kama Red Brigade kuwa inajihusisha na Matukio ya Utekaji na Utesaji. CHADEMA hawajawahi kukanusha madai haya.

Kikubwa zaidi, CHADEMA hawajawahi kuja na mapendekezo ya kuitaka Serikali kuunda Tume ya kuwachunguza kutokana na kuhusishwa na matukio hayo. Je CHADEMA wana Double Standard?

View attachment 495244
Sina uhakika kwa alimia 95 kama ccm wanahusika na utekaji wa wananchi. Na ni upuuzi kusema eti fulani alifanya hivi mbona haikuwa hivi. Nyie ndio watu ukifeli unasema mbona hatafulani kafeli. Fikiria kama mtu aliepevuka akili, acha kutoa mawazo ya kitoto
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Haya yanayoendelea sasa ni kazi ya chadema ili kuichafua serikali. Wao ni wazoefu kwa utekaji
 
Gazeti la Jambo Leo Mwezi Machi 2015 nilichapisha taarifa ya Kikundi Cha Ulinzi cha CHADEMA maarufu kama Red Brigade kuwa inajihusisha na Matukio ya Utekaji na Utesaji. CHADEMA hawajawahi kukanusha madai haya.

Kikubwa zaidi, CHADEMA hawajawahi kuja na mapendekezo ya kuitaka Serikali kuunda Tume ya kuwachunguza kutokana na kuhusishwa na matukio hayo. Je CHADEMA wana Double Standard?

View attachment 495244
Does this justify the current kidnapping?
 
Gazeti la Jambo Leo Mwezi Machi 2015 nilichapisha taarifa ya Kikundi Cha Ulinzi cha CHADEMA maarufu kama Red Brigade kuwa inajihusisha na Matukio ya Utekaji na Utesaji. CHADEMA hawajawahi kukanusha madai haya.

Kikubwa zaidi, CHADEMA hawajawahi kuja na mapendekezo ya kuitaka Serikali kuunda Tume ya kuwachunguza kutokana na kuhusishwa na matukio hayo. Je CHADEMA wana Double Standard?

View attachment 495244

Hivi Serikali ilikuwa ya Chadema??Akili yako moja unadhani wangekuwa kweli Chadema angekuwepo leo?

Chama Cha Mauaji, ndicho chama kinachotweza,kudhalilishwa,kutesa na kuua.

Kubalini mbadilike hata mfanyaje.msisingizie vyama vya Upinzani wakati ujambazi CCM, mauaji CCM, ujangili CCM, ubadhirifu wa Mali za Umma CCM, wizi wa Mali za Umma CCM na hicho chama cha Tiss kiko kimya sana kufanya kazi ya kuua Upinzani.
 
Back
Top Bottom