Hatuna habari na uchaguzi usio na tija kwetu, tunajua watu wa huko hawapigi kura kwa kufuata sera za mtu, so no need to waste our valuable energy waache wafu wazikane wao kwa wao. Sisi tunataka kukomboa Tanganyika yenye wakazi Milioni zaidi ya aribaini na utajiri wa kutosha na wananchi wenye kuelewa maana ya sera sio watu milioni moja wasiojua wanataka nini kila siku wanalalamika. Hivi atashinda nani mume au mke (CCM au CUF)