Ndungu wana Jr. nashangazwa sana na sera ya Chadema na mwendelezo wake hadi sasa wamepoteza mwelekeo. Awali ya yote huwa nawambia Chama hiki kipo after maslahi ya wachache, baada ya kugunduwa Ndg; Godbless Lema ameshindwa kwenye kesi aliyokata rufaa sasa mawazo yao yote yamehamia Arusha. Jiulize ni kwa nini ARUSHA na si kwingineko? sababu kubwa Arusha watalii wanaingia wengi hivyo kipato kipo, pamoja na wavuta ............... wa machimbo wapo kwa wingi. Mbona Tanga baada ya kutishwa na kijana wa Makamba wamekuwa kimya au hawakusikia alicho sema?
Nauliza tu hivi vyama vingine havina mpango wa Uchaguzi ndani ya vyama vyao? kwani kila kukicha CCM imekuwa hivi !!!!!!!!!, au ndo kusema waliopo hakuna wakuwatoa?
Cha ajabu sana Chadema wamefuata nyayo ya CCM kwa kutumia mtandao wa sms kutumia watu ujumbe hata wasiowahusu.(( Nanukuu ujumbe niliotumiwa hivi punde; HATARI! Angalia, watoto wa vigogo waliopita UVCCM ngazi ya taifa DICKSON MEMBE, FRED LOWASA, RIDHIWANI KIKWETE, ASHURA HUSSEIN MWINYI, BENY SAMWEL SITA, DEBORA MWANDOSYA, IREN PINDA, FELSTER NDUGAI, CHRISTOFER NDEJEMBI, SHARIFER BILALY, HAWA KIGODA, JUDITH MUKAMA NA JALOME MSEKWA. Nchi hii imekwisha. Inatia hasira, wacha watoto wa maskini tupambane kupitia mlango mwingine ''CHADEMA'' ili kutete maskini wenzetu, wazazi na watoto zetu! Vita Hii Inaanza Sasa! Upatapo meseji hii , tuma kwa WAZALENDO wenzako 5 )) Mwisho wa kunukuu.
Je CHADEMA kuna ngugu wa viongozi wangapi hadi sasa au ndo huwa sielewi tena ngazi kubwa kabisa? Mfano Dr. Slaa Mkewe mtelekezwa ni Mb wa kuteuliwa, ambapo mteuaji mkubwa ni Dr. Slaa mwenyewe, Wakili maarufu wa kuongea sana na Mwanasheria Mkuu mtarajiwa Dada yake naye ni Mb wa kuteuliwa. Wapo wengi sana lakini vyanini wakati wote wanashibisha matumbo yao kwa kutumia udhaifu huu wa kuto kufikilia mbali, na kutegemea mawazo dhaifu kama haya.
Chadema kimekuwa kinavuta watu kwa nguvu kuingia kwenye Chama, bila kujua madhara yake makubwa ya baadae, Mfano Kiongo anasimama anasema VUA GAMBA VAA GWANDA. Fikilia huyu unayemvuta aliko sasa unamponda je akija huku utamwosha na Omo ili atakate ama atakuja kuendeleza ufisadi?
Nawasilisha TUUNGANE KUJENGA NCHI SIYO KUBOMOA
ndungu wana jr. Nashangazwa sana na sera ya chadema na mwendelezo wake hadi sasa wamepoteza mwelekeo. Awali ya yote huwa nawambia chama hiki kipo after maslahi ya wachache, baada ya kugunduwa ndg; godbless lema ameshindwa kwenye kesi aliyokata rufaa sasa mawazo yao yote yamehamia arusha. Jiulize ni kwa nini arusha na si kwingineko? Sababu kubwa arusha watalii wanaingia wengi hivyo kipato kipo, pamoja na wavuta ............... Wa machimbo wapo kwa wingi. Mbona tanga baada ya kutishwa na kijana wa makamba wamekuwa kimya au hawakusikia alicho sema?
Nauliza tu hivi vyama vingine havina mpango wa uchaguzi ndani ya vyama vyao? Kwani kila kukicha ccm imekuwa hivi !!!!!!!!!, au ndo kusema waliopo hakuna wakuwatoa?
Cha ajabu sana chadema wamefuata nyayo ya ccm kwa kutumia mtandao wa sms kutumia watu ujumbe hata wasiowahusu.(( nanukuu ujumbe niliotumiwa hivi punde; hatari! Angalia, watoto wa vigogo waliopita uvccm ngazi ya taifa dickson membe, fred lowasa, ridhiwani kikwete, ashura hussein mwinyi, beny samwel sita, debora mwandosya, iren pinda, felster ndugai, christofer ndejembi, sharifer bilaly, hawa kigoda, judith mukama na jalome msekwa. Nchi hii imekwisha. Inatia hasira, wacha watoto wa maskini tupambane kupitia mlango mwingine ''chadema'' ili kutete maskini wenzetu, wazazi na watoto zetu! Vita hii inaanza sasa! Upatapo meseji hii , tuma kwa wazalendo wenzako 5 )) mwisho wa kunukuu.
Je chadema kuna ngugu wa viongozi wangapi hadi sasa au ndo huwa sielewi tena ngazi kubwa kabisa? Mfano dr. Slaa mkewe mtelekezwa ni mb wa kuteuliwa, ambapo mteuaji mkubwa ni dr. Slaa mwenyewe, wakili maarufu wa kuongea sana na mwanasheria mkuu mtarajiwa dada yake naye ni mb wa kuteuliwa. Wapo wengi sana lakini vyanini wakati wote wanashibisha matumbo yao kwa kutumia udhaifu huu wa kuto kufikilia mbali, na kutegemea mawazo dhaifu kama haya.
Chadema kimekuwa kinavuta watu kwa nguvu kuingia kwenye chama, bila kujua madhara yake makubwa ya baadae, mfano kiongo anasimama anasema vua gamba vaa gwanda. Fikilia huyu unayemvuta aliko sasa unamponda je akija huku utamwosha na omo ili atakate ama atakuja kuendeleza ufisadi?
Nawasilisha tuungane kujenga nchi siyo kubomoa
haviwahusu!! nyie anavyo dhaifu kajaza fedha alizotoka kuomba marekani na canadaSasa mikutano yao yote vikapu ndo vingi kuliko watu na Lema ndo mfuatiliaji wa hivyo vikapu mpaka anakosa muda wa kuwahutubia wananchi chezea chd wewe.
Ndungu wana Jr. nashangazwa sana na sera ya Chadema na mwendelezo wake hadi sasa wamepoteza mwelekeo. Awali ya yote huwa nawambia Chama hiki kipo after maslahi ya wachache, baada ya kugunduwa Ndg; Godbless Lema ameshindwa kwenye kesi aliyokata rufaa sasa mawazo yao yote yamehamia Arusha. Jiulize ni kwa nini ARUSHA na si kwingineko? sababu kubwa Arusha watalii wanaingia wengi hivyo kipato kipo, pamoja na wavuta ............... wa machimbo wapo kwa wingi. Mbona Tanga baada ya kutishwa na kijana wa Makamba wamekuwa kimya au hawakusikia alicho sema?
Nauliza tu hivi vyama vingine havina mpango wa Uchaguzi ndani ya vyama vyao? kwani kila kukicha CCM imekuwa hivi !!!!!!!!!, au ndo kusema waliopo hakuna wakuwatoa?
Cha ajabu sana Chadema wamefuata nyayo ya CCM kwa kutumia mtandao wa sms kutumia watu ujumbe hata wasiowahusu.(( Nanukuu ujumbe niliotumiwa hivi punde; HATARI! Angalia, watoto wa vigogo waliopita UVCCM ngazi ya taifa DICKSON MEMBE, FRED LOWASA, RIDHIWANI KIKWETE, ASHURA HUSSEIN MWINYI, BENY SAMWEL SITA, DEBORA MWANDOSYA, IREN PINDA, FELSTER NDUGAI, CHRISTOFER NDEJEMBI, SHARIFER BILALY, HAWA KIGODA, JUDITH MUKAMA NA JALOME MSEKWA. Nchi hii imekwisha. Inatia hasira, wacha watoto wa maskini tupambane kupitia mlango mwingine ''CHADEMA'' ili kutete maskini wenzetu, wazazi na watoto zetu! Vita Hii Inaanza Sasa! Upatapo meseji hii , tuma kwa WAZALENDO wenzako 5 )) Mwisho wa kunukuu.
Je CHADEMA kuna ngugu wa viongozi wangapi hadi sasa au ndo huwa sielewi tena ngazi kubwa kabisa? Mfano Dr. Slaa Mkewe mtelekezwa ni Mb wa kuteuliwa, ambapo mteuaji mkubwa ni Dr. Slaa mwenyewe, Wakili maarufu wa kuongea sana na Mwanasheria Mkuu mtarajiwa Dada yake naye ni Mb wa kuteuliwa. Wapo wengi sana lakini vyanini wakati wote wanashibisha matumbo yao kwa kutumia udhaifu huu wa kuto kufikilia mbali, na kutegemea mawazo dhaifu kama haya.
Chadema kimekuwa kinavuta watu kwa nguvu kuingia kwenye Chama, bila kujua madhara yake makubwa ya baadae, Mfano Kiongo anasimama anasema VUA GAMBA VAA GWANDA. Fikilia huyu unayemvuta aliko sasa unamponda je akija huku utamwosha na Omo ili atakate ama atakuja kuendeleza ufisadi?
Nawasilisha TUUNGANE KUJENGA NCHI SIYO KUBOMOA
Kwa hiyo unataka Mwana Mtoka Pabaya nikusaidiaje?
Mi naona povu tu. Hivi msg zooote unazopokea nyingine za sex, nyingine vichekesho n.k zinajulikana huwa zimetungwa na nani?

Nawapongeza wote mliochangia hata mliodiliki kutoa matusi, lakini haijalishi ilimradi ujumbe umeupata. Naendelea kushangaa mtu mwenye akili zake anawazia mambo ya 2015, huku hana mpango wa kujipanga kubwa anaendelea kubomoa. Je hiyo ndoto ya 2015 ndo mtaanza kujenga daraja zima au ukuta?. Kinachosabisha ushindi ni kidogo sana kwa macho, na wala si wingi wa watu kwenye mikutano na wala si kingine ni kura. Je Chadema mnafikiri wote wanaohudhulia ni wenu ama wengi wanakuja kushuhudia umaarufu wa kiongozi aliyopo jukwaani?. Hata Masanja na Joti wakitangaza leo watakuwepo sehemu fulani watu watajaa, sababu kubwa kuwashuhudia. Waweza kusoma sana hadi uzeeni lakini kikubwa usielimike. Tuamke tuache majisifu yasiyo na maana. Kesho nitaandika habari ya kusifu Chadema ili uone nitakavyo pongezwa kumbe unafiki mtupu, ndicho kinachofanyika kwenye kura.
Tache ubishi tujenge taifa letu
Wana JF,
Chadema wanapaswa kufahamu kuwa siasa ipo na itaendelea kuwepo lakini kinachohitajika ni kuindesha kwa ustaarabu na amani na katika maeneo stahiki.
Chadema mnawasumbuwa wakazi wa Arusha na siasa zenu watu wanashindwa kufanya kazi zao kila siku maandamano yasiyoisha na mikutano ya Lema, Chadema ebu acheni ulimbukeni wa kisiasa, vitendo vyenu vya kukusanyika ovyo na kusukuma gari la Lema kuzunguka mji mzima kuwatia hofu wananchi pamoja na wageni (Watalii) na wewekezaji pamoja na wafanyabiashara wadogo wadogo wa Jila la Arusha.
Mji wa Arusha saizi umedumaa kibiashara watu wanaukimbia wanaogopa fujo za Chadema, katika hali ya kawaida Chadema wameudumaza mji wa Arusha
kazi ya serikali unataka afanye Lema hayo mafungu yaliotengwa yana fanya kazi gani? Peleka wizi wenu huko gamba wewe!!!!!Lema anatakiwa kufanya kazi kusaidia Arusha kiuchumi hii ikiwa ni pamoja na kutangaza Arusha kwa watalii na kuongea na wafanyabiashara na kujadiliana shughuli mbalimbali za maendeleo. Kuelendeleza chama ni muhimu lakini Lema anatakiwa kufanya hizi shughuli pia. Arusha ni mji wa wafanyabiashara wadogowadogo na uchumi ukiwa duni unamuumiza kila mwana Arusha. Kama kuna mtu anajua Lema kafanya lini mikutano na wafanyabishara na kusikiliza malalamiko yao naomba aweke hapa