Kwakweli nimeamini chadema hakuna wenye hoja,hebu fikiria inakuwaje chama kizima kinahangaishwa na kunyimwa usingizi na mtu mmoja tu ambaye ni mbunge machachali Kutoka huko mkoani Singida.Jamaa ni noma akisimama popote iwe jukwaani au bungeni,akizungumza tu hakuna mwenye uwezo wa kuvunjavunja hoja zake.lakini yeye ni fundi sana wa kuvunja hoja za wapinzani na kuoneka dhaifu kabisa.Chadema wanabaki wanalialia tu na kutukana.Huyu ni mmoja tu anatetemesha chama kizima cha chadema.
Nadhani kuna umuhimu wa chadema kama chama mkaendelea kujipanga ,jamaa bado hata robo ya mabomu yake kwa hajayalipua.Huyo ndiyo mwigulu bwana,ni shabab anayewanyima usingizi na kuwashughulisha chadema.
Nilikuwa nimekaa na wanachuo wengi sana siku jamaa anapangua hoja za chadema kuhusisha ccm kwenye milipuko ya arusha,jamaa jinsi alivyokuwa anaongea bungeni,kila mtu pale alisema kuwa huu mchezo umechezwa na chadema wenyewe,maana kila neno alilotumia lina mantiki.
Hilo ni mmoja tu linasumbua chama chote cha chadema.

Mtoi kwa mambo yalivyo siku hizi hayahitaji logic hata unaelimu kama ya sugu na lema unagundua tu kwamba mwigulu kawashika chadema
ni kweli unahaki ya kufurahia lakin ukae ukijua kuwa unashiriki kuwatendea binadam wenzio ukatili ambao hata mungu wako kwa iman yako hapendezewi mambo hayo pamoja na ushabiki tulio nao lakin tujue kuna binadamu wenzetu wanatendewa unyama kwa manufaa ya wachache mkaanga sumu na mnyweshaji pamoja na walio ona waka kaa kimya au kufurahia woote ni wauwaji.Kwakweli nimeamini chadema hakuna wenye hoja,hebu fikiria inakuwaje chama kizima kinahangaishwa na kunyimwa usingizi na mtu mmoja tu ambaye ni mbunge machachali Kutoka huko mkoani Singida.Jamaa ni noma akisimama popote iwe jukwaani au bungeni,akizungumza tu hakuna mwenye uwezo wa kuvunjavunja hoja zake.lakini yeye ni fundi sana wa kuvunja hoja za wapinzani na kuoneka dhaifu kabisa.Chadema wanabaki wanalialia tu na kutukana.Huyu ni mmoja tu anatetemesha chama kizima cha chadema.
Nadhani kuna umuhimu wa chadema kama chama mkaendelea kujipanga ,jamaa bado hata robo ya mabomu yake kwa hajayalipua.Huyo ndiyo mwigulu bwana,ni shabab anayewanyima usingizi na kuwashughulisha chadema.
Nilikuwa nimekaa na wanachuo wengi sana siku jamaa anapangua hoja za chadema kuhusisha ccm kwenye milipuko ya arusha,jamaa jinsi alivyokuwa anaongea bungeni,kila mtu pale alisema kuwa huu mchezo umechezwa na chadema wenyewe,maana kila neno alilotumia lina mantiki.
Hilo ni mmoja tu linasumbua chama chote cha chadema.
Kwakweli nimeamini chadema hakuna wenye hoja,hebu fikiria inakuwaje chama kizima kinahangaishwa na kunyimwa usingizi na mtu mmoja tu ambaye ni mbunge machachali Kutoka huko mkoani Singida.Jamaa ni noma akisimama popote iwe jukwaani au bungeni,akizungumza tu hakuna mwenye uwezo wa kuvunjavunja hoja zake.lakini yeye ni fundi sana wa kuvunja hoja za wapinzani na kuoneka dhaifu kabisa. CHADEMA wanabaki wanalialia tu na kutukana.Huyu ni mmoja tu anatetemesha chama kizima cha CHADEMA.
Nadhani kuna umuhimu wa CHADEMA kama chama mkaendelea kujipanga ,jamaa bado hata robo ya mabomu yake kwa hajayalipua.Huyo ndiyo mwigulu bwana,ni shabab anayewanyima usingizi na kuwashughulisha CHADEMA.
Nilikuwa nimekaa na wanachuo wengi sana siku jamaa anapangua hoja za CHADEMA kuhusisha CCM kwenye milipuko ya Arusha,jamaa jinsi alivyokuwa anaongea bungeni,kila mtu pale alisema kuwa huu mchezo umechezwa na CHADEMA wenyewe,maana kila neno alilotumia lina mantiki.
Hilo ni mmoja tu linasumbua chama chote cha CHADEMA.
Huo ni mtazamo wako lakini ebu taja jina la Mwigulu mbele ya Dr Slaa,Mbowe,Lema au Msigwa uone kitakachofuata.Kama si kufutwa uanachama basi ni onyo kali sana.Jamaa anachafua nyongo za vigogo wa Chadema.Mimim naona kama mwigulu anatumiwa na CHADEMA kuichafua CCM wewe uliyepost hujastukia.....Mana kila tukio analopiga linazidi kuichafua CCM...
ni kweli unahaki ya kufurahia lakin ukae ukijua kuwa unashiriki kuwatendea binadam wenzio ukatili ambao hata mungu wako kwa iman yako hapendezewi mambo hayo pamoja na ushabiki tulio nao lakin tujue kuna binadamu wenzetu wanatendewa unyama kwa manufaa ya wachache mkaanga sumu na mnyweshaji pamoja na walio ona waka kaa kimya au kufurahia woote ni wauwaji.
Mkuu rudi kwenye hoja mbona kata alizoshinda husemi,jibu andiko la jamaa,je kunamwanachadema hata mmoja anaweza kupangua hoja za mwigulu?
Kwakweli nimeamini chadema hakuna wenye hoja,hebu fikiria inakuwaje chama kizima kinahangaishwa na kunyimwa usingizi na mtu mmoja tu ambaye ni mbunge machachali Kutoka huko mkoani Singida.Jamaa ni noma akisimama popote iwe jukwaani au bungeni,akizungumza tu hakuna mwenye uwezo wa kuvunjavunja hoja zake.lakini yeye ni fundi sana wa kuvunja hoja za wapinzani na kuoneka dhaifu kabisa. CHADEMA wanabaki wanalialia tu na kutukana.Huyu ni mmoja tu anatetemesha chama kizima cha CHADEMA.
Nadhani kuna umuhimu wa CHADEMA kama chama mkaendelea kujipanga ,jamaa bado hata robo ya mabomu yake kwa hajayalipua. Huyo ndiyo mwigulu bwana,ni shabab anayewanyima usingizi na kuwashughulisha CHADEMA.