Aman Ng'oma
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 966
- 537
Kwakweli nimeamini chadema hakuna wenye hoja,hebu fikiria inakuwaje chama kizima kinahangaishwa na kunyimwa usingizi na mtu mmoja tu ambaye ni mbunge machachali Kutoka huko mkoani Singida.Jamaa ni noma akisimama popote iwe jukwaani au bungeni,akizungumza tu hakuna mwenye uwezo wa kuvunjavunja hoja zake.lakini yeye ni fundi sana wa kuvunja hoja za wapinzani na kuoneka dhaifu kabisa. CHADEMA wanabaki wanalialia tu na kutukana.Huyu ni mmoja tu anatetemesha chama kizima cha CHADEMA.
Nadhani kuna umuhimu wa CHADEMA kama chama mkaendelea kujipanga ,jamaa bado hata robo ya mabomu yake kwa hajayalipua.Huyo ndiyo mwigulu bwana,ni shabab anayewanyima usingizi na kuwashughulisha CHADEMA.
Nilikuwa nimekaa na wanachuo wengi sana siku jamaa anapangua hoja za CHADEMA kuhusisha CCM kwenye milipuko ya Arusha,jamaa jinsi alivyokuwa anaongea bungeni,kila mtu pale alisema kuwa huu mchezo umechezwa na CHADEMA wenyewe,maana kila neno alilotumia lina mantiki.
Hilo ni mmoja tu linasumbua chama chote cha CHADEMA.