CHADEMA wagawa bendera za UKUTA

Bora udikteta wa CCM kuliko ufisadi wa chadema.

Chadema ni kimbilio na kichaka cha mafisadi.

Tar.1shikeni ukuta sisi tupo nyuma yenu.
CCM ni mama wa ufisadi kila kiongozi mpiga diri muuza pembe za ndovu yupo uko, aliyeuza nyumba za umma kwa ubinafsi wake yupo uko, aliyejiuzia mgodi akiwa madarakani yupo uko, aliyenunua boti chakavu yupo uko, aliyenunua mabehewa chakavu fake yupo uko, muuza dawa fake za ARV yupo uko, aliyekuwa na watu wakipitisha mizigo bure bandarini yupo uko, wezi wa EPA wapo uko, walioshiriki na lugumi wapo uko, wezi wa escrow wapo uko, dowans alikuwa uko, wakwepa kodi wakubwa wapo uko , chama chenyewe kina biashara kibao hakilipi kodi ; nenda shule uliyosoma wakupe ada yako maana umeibiwa hawakukupa elimu
 
 
HAWA LUMUMBA WALAANIWE KABISAAAA

Ova
 
Hahahaaa wazee was Ukuta wasubirie tangazo la dola kupiga marufuku vyama kupeperusha bendera zenye nembo tofauti na zile zilizosajiliwa rasmi, . Mie napita tu
 
Dada yangu mbona una hasira upo mwezini?
 
Kisa nini? Umjeruhi mtu kaandamana kwa raha zake na bila gharama zako?kuna haja ya kuandaa vitu kama hivi kwa mtu mzima kweli? [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25]
Kuna haja ya kujiridhisha na ukweli kuwa nani kashika mpini na nani kashika makali katika kugombea panga.
 
Mwanza tuna pata wapi asee. Yan hta kama kunaboxer za ukuta ntachukua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…