diwani wa kata ya Makoko mh Aloyse Mawazo anasema kwamba manispaa ya Musoma imeweza kurekebisha barabara na wanajaribu kufanya mbinu ili waweze kupunguza migogoro ya viwanja ambavyo wananchi walinyang'anywa na serikali ...bila sababu maalum ...katika changamoto anasema fungu la manispaa halifiki kwa wakati ....na linafika nusunusu....