Niko Mwanza, na nimezunguka mitaa yote ya jiji hili lanye mandhari nzuri ya kuvutia lakini sijabahatika kuona Bendera ya CHADEMA kote nilikopita, kulikoni...? Au ile OPERATION SANGARA na M4C hazijafanya kazi...?
Nijuavyo mimi, hili ni eneo ambalo lina ushawishi mkubwa kisiasa huku Kanda ya Ziwa, katika kipindi hiki cha miaka miwili kilichobaki kuelekea uchaguzi mkuu, ingekuwa ni vyema kwa CHADEMA kuelekeza nguvu zake huku baada ya kuwa tayari imeshakamata kanda ya Kaskazini.
Copy to: Mwita Maranya
mwanza hatuweki bendera ....sisi ni watu wa action hata magamba wanajua hilo.......na ukitaka kujua chadema ipo mwanza itisha mkutano hata wa kata ila bendera zipo nyingi mbona
Niko Mwanza, na nimezunguka mitaa yote ya jiji hili lanye mandhari nzuri ya kuvutia lakini sijabahatika kuona Bendera ya CHADEMA kote nilikopita, kulikoni...? Au ile OPERATION SANGARA na M4C hazijafanya kazi...?
Nijuavyo mimi, hili ni eneo ambalo lina ushawishi mkubwa kisiasa huku Kanda ya Ziwa, katika kipindi hiki cha miaka miwili kilichobaki kuelekea uchaguzi mkuu, ingekuwa ni vyema kwa CHADEMA kuelekeza nguvu zake huku baada ya kuwa tayari imeshakamata kanda ya Kaskazini.
Copy to: Mwita Maranya
Niko Mwanza, na nimezunguka mitaa yote ya jiji hili lanye mandhari nzuri ya kuvutia lakini sijabahatika kuona Bendera ya CHADEMA kote nilikopita, kulikoni...? Au ile OPERATION SANGARA na M4C hazijafanya kazi...?
Nijuavyo mimi, hili ni eneo ambalo lina ushawishi mkubwa kisiasa huku Kanda ya Ziwa, katika kipindi hiki cha miaka miwili kilichobaki kuelekea uchaguzi mkuu, ingekuwa ni vyema kwa CHADEMA kuelekeza nguvu zake huku baada ya kuwa tayari imeshakamata kanda ya Kaskazini.
Copy to: Mwita Maranya
acha uongo wewe

Sio kweli mkuu,
Pale Stand ya Tanganyika kuna bendera imejengewa mwanzoni kabisa wakati unaingia katika kituo kile cha mabasi cha zamani!
Mabatini stand, kuna bendera katika makutano ya barabara ya nyerere na ile inayoenda kileruu! Moja imechomelewa kwenye kibao cha matangazo, nyngine imetundikwa kwenye cable!
Unapopita mabatini stand kuna nyingine karibu na daraja pale!!
Wengine wataongeza wanazozijua..