Chadema/ukuta

Tehe!! tehe!! tehe!! we endelea kushika ukuta kwa fikra za mwenyekiti huku akikuaminisha katiba imesiginwa wakati nikikuuliza hata kifungu kimoja cha katiba kilichosiginwa huwezi kunitajia..

nikutakie ushikaji mahiri wa ukuta..,
Kwani uniulize wakati katiba ipo? Kumbe mtatumia umbumbumbu wa watz kuhusu katiba kufanya mnachofanya?!.....
 
Mbona marekani kuna maendeleo watu wanauhuru?
 
Kwani uniulize wakati katiba ipo? Kumbe mtatumia umbumbumbu wa watz kuhusu katiba kufanya mnachofanya?!.....

aliyesema katiba imesiginwa ni wewe, nitakuuliza kifungu kipi kilichosiginwa kwa kuwa wewe ndio mlalamikaji..

aliyekuambia watanznia mbumbumbu kakuongopea... unless wewe mwenyewe uwe mbumbumbu...
 
ahsante kwa maoni yako yanayoonyesha upeo wafikra zako.ila hapo penye kujua demokrasia rekebisha usiseme hatuijui demokrasia sema siijui demokrasia.
 
Kila sehemu LISU! LISU! huyu mzee anatawaua kwa presha.... Hata utekelezwaji wa ahadi umesimama sasa
 
aliyesema katiba imesiginwa ni wewe, nitakuuliza kifungu kipi kilichosiginwa kwa kuwa wewe ndio mlalamikaji..

aliyekuambia watanznia mbumbumbu kakuongopea... unless wewe mwenyewe uwe mbumbumbu...
Tatizo huleti hoja za msingi, bali unabwabwaja tu, na hii inaweza wewe ni miongoni mwa watu walioenda kuhifadhi akili zenu mahali fulani na baadaye "kipindi maalum" kitakapomalizika mtazifuata. Kama ungekuwa na akili zako usingeshindwa kuelewa kwamba mgongano uliopo sasa baina ya opposition na serikali ni kuzuiwa kufanya mikutano ambayo imeruhusiwa na katiba! Kwahiyo hapa wanaolalamika ni vyama vya upinzani, sasa hebu nenda kawaulize, kwa niaba ya serikali, kifungu gani cha katiba kilichosiginwa kabla hujazifuata akili zako "zilikohifadhiwa"!
 
Kila sehemu LISU! LISU! huyu mzee anatawaua kwa presha.... Hata utekelezwaji wa ahadi umesimama sasa
Chonde chonde. Siku ya Ukuta naomba Tundu lisu asishiriki maana hwa jamaa watamtarget yeye. Yan kufa Tundu ni bora wafe wanasheria wa serkal 30, wabunge wa CCM 100 na wanaukuta 1000000.
 
kwani CHADEMA au upinzani umewapa kodi yako!!??? Hata tulipoingia mchakato wa kisheria wa kura tulipotaka kuchukua dola mliwaunga mkono hao wezi wa kodi zenu kwa nusu karne> Umeona hata juhudi za kuwawajibidisha wenye kodi yako siyo haki!! NO be serious!!
 
Bora mie za kwangu zimehifadhiwa wewe za kwako zimeshikwa na mwenyekiti alafu wewe ukashikishwa ukuta..

Unalalama mikutano nimezuiwa wakati mlijifungia hotelini siku 4 mkiitafuna ruzuku ya chama kisha mkaja na tamko uchwara za kushikishana ukuta..
Kwani mlipojifungia hotelini mlikua mnapiga ramli ama mlifanya mkutano??

Msigwa anafanya nini Jimboni kwake?? Anawanga ama??

Lisu alipotiwa nguvuni alikua anafanya nini jimboni kwake??

Usinidai nikujibu kwa hoja wakati wewe mwenyewe unaruka ruka kama kitenesi cha gombania goli..
 
Tatizo lenu mnafikiri kila aliyepo hapa JF ni mfuasi wa vyama vya siasa, ndio maana nasisitiza mnaambiwa akili zenu zimehifadhiwa sehemu hadi baadaye, ungekuwa na akili zako kichwani ukarudia kusoma ulichoandika ungejihurumia!
 
Chonde chonde. Siku ya Ukuta naomba Tundu lisu asishiriki maana hwa jamaa watamtarget yeye. Yan kufa Tundu ni bora wafe wanasheria wa serkal 30, wabunge wa CCM 100 na wanaukuta 1000000.
teh kweli mkuu itakua hasara kubwa sana kwa taifa
 
Tatizo lenu mnafikiri kila aliyepo hapa JF ni mfuasi wa vyama vya siasa, ndio maana nasisitiza mnaambiwa akili zenu zimehifadhiwa sehemu hadi baadaye, ungekuwa na akili zako kichwani ukarudia kusoma ulichoandika ungejihurumia!
Ungeanza wewe kujihurumia maana hata hujui tena unacholilia ni kitu gani..
Umehoji na ukadai ujibiwe kwa hoja, nimekujibu matokeo yake unahamisha goli..
Sasa kati yangu mie na ww nani wakujihurumia?

Well kama umesahau ulichohoji rejea post zako huko juu kisha oanisha na majibu yangu... visipolingana una haki ya kunihurumia..
Otherwise anza wewe mwenyewe kujihurumia kwa kutumia akili za mwenyekiti wa kushikishana ukuta..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…