Tuseme kwamba tusiwafumbie macho wengine, tuwajumuishe nao katika huo "uwajibishaji".Hili la serikali 2 ni la kuangalia kwa mtazamo mpana
Upo ushahidi , wabunge wa CCM katika bunge maalum waligawanyika. Waliitwa na kupewa msimamo, jambo lilozaa Ukawa
Rais Kikwete,aliwaambia CCM wajiandae na mabadiliko ya serikali 2 kwenda 3. Hii ilikuwa ni baada ya rasimu ya kwanza
Jaji Warioba ni muumini wa serikali 2. Hata hivyo, alisema ameshawishika kuunga mkono serikali 3 kutokana na mabadiliko ya hali ya kisiasa nchini na duniani na kwamba jambo hilo haliepukiki
Ni mbadiliko ya dunia anayosema Warioba ndiyo yaliyomlazimuNyerere kukubali uwepo wa mfumo wa vyama vingi, jambo alilolikataa miaka 30 kabla ya kutokea kwake
Asha Rose alikuwa mjumbe wa tume ya Kisanga iliyopendekeza serikali 3.
Kwa maneno mengine anaamini katika serikali 3. Ni Asha huyo ndiye aliyegawa nakala za katiba yao pendekezwa iliyokufa akiwa anaamini 3 nakutekeleza serikali 2
Da'Amina naye ni kama Asha. Mkuu JokaKuu kaeleza hapo juu
Hivyo, kumsema Lowassa na kufumbia macho wengine ni double standard and unfair
That said and done, haiondoi ukweli kua anapotaka kubeba dhamana kubwa ni vema akaeleweka.
Ni katika kuondoa mashaka kama alivyouliza Alinda hapo juu
So says who, UKAWA or Kobello? For your info Lowassa is the flag bearer of UKAWA so bear it and like it!Jamani Kubalini tu kuwa in principle, Lowassa siyo the best flag-bearer wa UKAWA.
So what? What stopped you from entering the ring? it's hard to imagine...Kobello vs Lowassa, that would be the day!This is good news to me, even my uneducated self can debate the hell outta this dude.
Keep on blowing your own trumpet dude, Lowassa has a huge following and what do you have? Family, dog and cat?Yes, I can debate Lowassa and make him look vague.
Lowassa hawezi kuibadilisha CDM na wala CDM hawawezi kumbadilisha.Kobello,
..lowassa ni muumini wa serikali 2 lakini sasa ni mwanachama wa cdm ambayo sera yake ni serikali 3.
..kuna uwezekano lowassa akabadilika, au akaibadilisha cdm.
..lakini suala la uumini wa serikali 2 vs 3 lipo zaidi kwa wana-ccm. Labda tunaweza kujufunza kwa mifano iliyoko ccm.
..balozi amina salum aliongoza tume iliyotoa mapendekezo ya muungano wa serikali 3. Dr
Asha migiro alikuwa mjumbe wa tume ya jaji kisanga iliyopendekeza serikali 3. Dr.mwakyembe aliandika thesis ya phD kutetea serikali 3. Lakini wote hao leo ni waumini wa serikali 2.
..maswali ya msingi ni haya: does lowassa care enough about serikali 2 kiasi cha kupelekea kujaribu kuibadilisha cdm? Je, ana uwezo wa kihoja ktk kutekeleza azma hiyo? Je, ana watu wa kutosha ndani ya cdm watakaomuunga mkono kubadilisha msimamo kwenda serikali 3? Nini future ya ukawa ikiwa cdm itabadilika na kuunga mkono serikali 2?
Cc Mag3, Nguruvi3, Mwalimu
Dada, tafadhali pitia hansards za bunge au type Lowassa/serikali tatu in a Google search bar.Hivi ni lipi na wapi Lowassa alitamka mambo ya serikali 2 au 3?
Huu uumini wa Lowassa wa serikali mbili hauwezi kubadilika kuwa serikali tatu?
Kama huyu Lowassa amezaliwa na kulelewa na CCM lakini leo hii kahama CCM je kinachomshinda ni nini kuwa muumini wa serikali 3?
Hivi wakati anajiunga na Ukawa si alifahamu kuwa Ukawa wanapigania katiba ya Wananchi ambayo ni rasmu ya Warioba?
Simpendi Lowassa, lakini napenda kumhukumu kwa haki si kwa maneno ya kulishwa na CCM Kama ni mla rushwa tuambiwe ni rushwa ya nini, ni lini ilitokea na ni wapi na serikali ilimchukulia hatua gani na kama serikali haikuchukua hatua tuambiwe ni kwanini? zaidi ya hapo yatakuwa ni majungu ya akina Nape und co.
Just because you have a huge following, doesn't make you smart.So says who, UKAWA or Kobello? For your info Lowassa is the flag bearer of UKAWA so bear it and like it!
So what? What stopped you from entering the ring? it's hard to imagine...Kobello vs Lowassa, that would be the day!
Keep on blowing your own trumpet dude, Lowassa has a huge following and what do you have? Family, dog and cat?
Dont be offended friend, this is but with a light touch! Just laugh it off! See ya at the ballot box come October 2015.
Hivi ni lipi na wapi Lowassa alitamka mambo ya serikali 2 au 3?
Huu uumini wa Lowassa wa serikali mbili hauwezi kubadilika kuwa serikali tatu?
Kama huyu Lowassa amezaliwa na kulelewa na CCM lakini leo hii kahama CCM je kinachomshinda ni nini kuwa muumini wa serikali 3?
Hivi wakati anajiunga na Ukawa si alifahamu kuwa Ukawa wanapigania katiba ya Wananchi ambayo ni rasmu ya Warioba?
Simpendi Lowassa, lakini napenda kumhukumu kwa haki si kwa maneno ya kulishwa na CCM Kama ni mla rushwa tuambiwe ni rushwa ya nini, ni lini ilitokea na ni wapi na serikali ilimchukulia hatua gani na kama serikali haikuchukua hatua tuambiwe ni kwanini? zaidi ya hapo yatakuwa ni majungu ya akina Nape und co.
Humpendi Lowasa?kakukosea nini,ni kwa sababu ya siasa au lingine tu.ufisadi wa Lowasa Leo umekua majungu,wakati Padri Slaa alisema kwa UMMA pale mwembe Yanga.. Leo nimeamini fedha Sabuni ya Roho
Mkuu,Hivi ni lipi na wapi Lowassa alitamka mambo ya serikali 2 au 3?
Huu uumini wa Lowassa wa serikali mbili hauwezi kubadilika kuwa serikali tatu?
Kama huyu Lowassa amezaliwa na kulelewa na CCM lakini leo hii kahama CCM je kinachomshinda ni nini kuwa muumini wa serikali 3?
Hivi wakati anajiunga na Ukawa si alifahamu kuwa Ukawa wanapigania katiba ya Wananchi ambayo ni rasmu ya Warioba?
Simpendi Lowassa, lakini napenda kumhukumu kwa haki si kwa maneno ya kulishwa na CCM Kama ni mla rushwa tuambiwe ni rushwa ya nini, ni lini ilitokea na ni wapi na serikali ilimchukulia hatua gani na kama serikali haikuchukua hatua tuambiwe ni kwanini? zaidi ya hapo yatakuwa ni majungu ya akina Nape und co.
Au hapa,
Baada ya maelezo ya Lowassa, mpambambanaji mmoja wa CHADEMA alinukuliwa akisema.Mh. Edwad Lowassa (a.k.a Rais ya Monduli) alipoulizwa kuhusu sababu za mvutano wa kisiasa nchini, alijibu:
"Kuna mchakato wa uundwaji wa katiba mpya, watu wanataka serikali tatu, wengine moja, wengine wanataka zibaki mbili, lakini mimi kwa maoni yangu naona bora zibaki serikali mbili kama ilivyo sasa, kwa sababu serikali tatu, ile ya muungano itamezwa na Serikali za Tanganyika na Zanzibar na huko ni kuvunja muungano. Kuna watu wameoana pande zote mbili sasa muungano ukivunjika hawa tuta wafanyaje? lakini tuwaachie wananchi watoe maoni".
Alipo ulizwa kuwa wanachi wakipendekeza serikali tatu itakuwaje? Alicheka na kujibu: "Hiyo ni bahati mbaya, itakuwa bahati mbaya sana!"
Source: VOA.
Huyu mzee ni mtu wa kufuata mkumbo na hajawahi kuwa analytical.Aseme tu anachanganyikiwa na mapendekezo ya serikali tatu maana hajui atagombea wapi.Uroho wa madaraka ndiyo uliomsukuma kutoa maoni hayo kwa hoja dhaifu zilizopitwa na wakati
Dada, tafadhali pitia hansards za bunge au type Lowassa/serikali tatu in a Google search bar.
These things are not hearsay, they are facts.
It's also logical to want more power, thats second to life itself. A 3 tier government will always be an enemy of any incumbent in Tanzania.
Mkuu,
Gonga na soma hapa,
Au hapa,
Baada ya maelezo ya Lowassa, mpambambanaji mmoja wa CHADEMA alinukuliwa akisema.
Alinda, nilidhani angeleta clip ya Lowassa akiunga mkono mfumo wa serikali mbili na sababu ya kutetea msimamo huo kwa hoja. Mimi najua kwamba alichosisitiza Lowassa wakati mwingi ni wananchi kuulizwa mfumo upi wanautaka na sababu zao na kwamba uamuzi wao huo uheshimiwe.Mkuu Kobello asante sana kwa angalizo lako, nime"google" na kukuta hizo links mbili alizoleta Ng'wamapalala
Kwanza kabisa nilitgemea kukutana na clips na maandishi mbali mbali ya Mh. Lowassa kuhusu serikali 2 lakini kwa bahati mbaya kabisa nimekutana na hilo andishi la kwanza ambalo Lowassa aliongelea kanisa na hizo la pili alilohojiwa na Voa..
Mkuu,Mkuu Kobello asante sana kwa angalizo lako, nime"google" na kukuta hizo links mbili alizoleta Ng'wamapalala
Kwanza kabisa nilitgemea kukutana na clips na maandishi mbali mbali ya Mh. Lowassa kuhusu serikali 2 lakini kwa bahati mbaya kabisa nimekutana na hilo andishi la kwanza ambalo Lowassa aliongelea kanisa na hizo la pili alilohojiwa na Voa..
Andishi la pili pamoja na Lowassa kusema serikali mbili lakini bado anasisitiza kuwa wananchi waulizwe wanachotaka sasa basi kusema kuwa msimamo wa Lowassa ni serikali 2 bado hatutendi haki.
Haya, tuseme kuwa hizo sources hazitoshi au hazipo kabisa na hazina maana yeyote.Mkuu Kobello asante sana kwa angalizo lako, nime"google" na kukuta hizo links mbili alizoleta Ng'wamapalala
Kwanza kabisa nilitgemea kukutana na clips na maandishi mbali mbali ya Mh. Lowassa kuhusu serikali 2 lakini kwa bahati mbaya kabisa nimekutana na hilo andishi la kwanza ambalo Lowassa aliongelea kanisa na hizo la pili alilohojiwa na Voa..
Andishi la pili pamoja na Lowassa kusema serikali mbili lakini bado anasisitiza kuwa wananchi waulizwe wanachotaka sasa basi kusema kuwa msimamo wa Lowassa ni serikali 2 bado hatutendi haki.
Swala la pili "Andishi kutoka kanisani" alichoongea ndio ulikuwa msimamo wa CCM (Si Lowassa) hivyo basi ilikuwa ni wajibu au ni lazima Lowassa kutetea msimamo wa chama. Na hii si kwa Lowassa tu bali wabunge wote wa CCM walikuwa wanatetea serikali 2 kama walivyokuwa wabunge wote wa Ukawa kutetea serikali 3. Laiti kama hawa wabunge wangeachwa huru kuamua ni serikali mbili au tatu basi kama Lowassa angesema kuwa yeye anataka serikali 2 walau tungesema kuwa huu ndio msimamo wa Lowassa.. Lakini tunachokiona ni msimamo wa CCM si wa Lowassa.
Nitajaribu kutoa mfn tu.. Tunafahamu Ukawa watu waliokuwa wako mstari wa mbele kutetea serikali 3 ni Tundu Lissu na Jussa hawa watu walijenga hoja zao na hata tukisoma maandishi au hata kuangalia clips mbali mbali utaona ni kwanini wanatetea serikali 3.
Na pale mtu atakaposema kuwa Tundu au Jussa misimamo yao ni Serikali 3 mtu unaelewa kwanini ni hivyo lakini inapotokea mtu akasema kuwa Mh. Msingwa au Mh Mhonga msimamo wake ni serikali 3 huyu mtu unakuwa unamuonea kwani huo msimamo wa Ukawa ambao hawa waheshimiwa wengine wamelazimishwa kufuata, kitu ambacho mimi nakiona si sawa kwa pande zote mbili maana wabunge hawakuwa uhuru kutoa mawazo yao bali mawazo ya viongozi wa vyama vyao.
Lakini pamoja ya hayo nimeuliza hapo awali kuwa je kwani msimamo wa Lowassa hauwezi kubadilika? Kama Lowassa metoka CCM na kwenda Chadema ni nini kitachomfanya hasibadilishe uamuzi wake wa awali?
Pia ndugu zangu Tanzania muhimu si serikali ngapi umuhimu ni kupata mhafaka kwa pande zote mbili ili kusudi kila upande uweze kutembea kifua mbele ukijivunia Mama yetu Tanzania.
Ng'wamapalala Unakumbuka hapa""""
Mimi ninaheshimu uwezo wa Lowassa kwenye resource mobilization and mass mobilization kwenye uwanja wa siasa za Tanzania. Hakuna mwingine nchini zaidi ya Lowassa kwenye maeneo haya.
Hata wapinzani walikuwa wanampigia magoti aende kwenye vyama vyao kwa sababu wanafahamu uwezo wake mkubwa katika resource mobilization and mass mobilization kwenye uwanja wa siasa za Tanzania.
Nadhani ameamua kubaki CCM kwa sababu anahofia atapoteza vingi alivyonavyo!"""
Hizo ndio siasa
Haya, tuseme kuwa hizo sources hazitoshi au hazipo kabisa na hazina maana yeyote.
Twende kwenye logical analysis.
1. Kama mwana CCM just three weeks ago, ungemuweka kundi gani?
a. Nyerere's Fondation na kina Judge Warioba, Butiku, Humphrey Polepole.
b.Magamba michongo kama vile Rostam Aziz, Chenge,Iddi Simba et al.
c.Magamba mizigo kama vile Pinda,Membe, Bilal etc...
d.Wasiojali mabadiliko kama Deo Filikunjombe
Au kundi lolote like based on common characteristics bila kumtumia kabila and such things.
Halafu ujaribu kuangalia kama kambi hiyo, ndani ya CCM imeonyeshaje Hata siku moja ku-compromise na wapinzani kwenye suala la kikatiba.
Ukiacha hilo, umeshawahi kumsikia Lowassa akizungumzia suala lolote LA kikatiba, aki analyse policies in deep,au akiandika articles kama kina Msekwa, Nyerere,Jumbe,etc au Hata January?
Lowassa Ana papers alizoandika ambazo unaweza kutupatia?
So, why would you expect a "clip" or any other form of proof?
Also, kama unasema muundo wa serikali siyo muhimu sana,hapo nitakubaliana na wewe, lakini upande aliopo Lowassa sasa hivi mfumo wa serikali is the "nucleus" of their existence na kwenye campaigns tegemea hilo, apart from ufisadi ambao sina shaka Hata yeye anajua kuna vielelezo vitamwagwa.
Mkuu,
Mimi nadhani unajaribu kutetea hoja ambazo hazina nguzo inazozifanya zisimame kwenye muktadha wa hoja ya msingi.
Tukubaliane tu kuwa, Lowassa mpaka sasa ni muumini wa Serikali mbili na amepiga kura kukubali Katiba Inayopendekezwa. Kama kwa sasa amebadilisha fikra baada ya kuhamia CHADEMA, hili ni suala jingine pamoja na kwamba mpaka sasa hatujasikia tamko lake la kubadilisha fikra kuhusu muundo wa Serikali ya Muungano.
Hizi hoja za kusema, alipiga kura ya kuikubali Katiba Inayopendekezwa kwa sababu huo ulikuwa ni msimamo wa CCM ni kujaribu kuzikimbia hoja za msingi.
Kama kweli Lowassa alikuwa hakubaliani na Katiba Inayopendekezwa kwa nini hakutoka nje ya bunge kama baadhi ya wabunge wengine wa CCM walivyofanya, kwa mfano, Bulaya, Filikunjombe.
Kama unataka ushahidi zaidi wa utetezi wa Lowassa kuhusu serikali mbili na siyo serikali tatu, angalia hii video yenye mahojiano yake na Swahili TV.
Alinda, ninavyofahamu na kulingana na ripoti ya mwanzo ya Tume ya Warioba, hata Kikwete mwenyewe awali alikubaliana na muundo wa serikali tatu. Tume ilishangazwa sana na msimamo huo wa Kikwete ulivyobadilika ghafla siku alipohutubia Bunge Maalum La Katiba na kama sikosei hii ndiyo ilikuwa sababau kubwa iliyolisukuma taratibu na kanuni za BMLK kubadilishwa na ripoti ya kamati kusomwa kwanza kabla ya hotuba ya Kikwete. Kulikuwa na woga kwamba kama Warioba angesoma hiyo ripoti na kulitolea ufafanuzi baada ya Kikwete kulihutubia BMLK kungetokea na hali ya sintofahamu ndani ya bunge hilo na si ajabu wabunge wengi wangeafiki ripoti hiyo.Asante ana kwa video yako.. Ila swali langu kwako je hii video umeiangalia kweli? Katika hiyo video hakuna msimamo wa Lowassa wa serikali 2 bali ni maoni yake na anasema sababu ya kukataa hizo serikali 3 ni uwogo wa vita ambayo inaweze kutokea (propoganda za CCM kama tulivyozoea) na pia anasema "ninaomba Mungu apishe mbali hata kama tutakubaliana na serikali hizo.." hapa unaona kuwa huyu tayari kubadilika..
Hivi ni lipi na wapi Lowassa alitamka mambo ya serikali 2 au 3?
Huu uumini wa Lowassa wa serikali mbili hauwezi kubadilika kuwa serikali tatu?
Kama huyu Lowassa amezaliwa na kulelewa na CCM lakini leo hii kahama CCM je kinachomshinda ni nini kuwa muumini wa serikali 3?
Hivi wakati anajiunga na Ukawa si alifahamu kuwa Ukawa wanapigania katiba ya Wananchi ambayo ni rasmu ya Warioba?
Simpendi Lowassa, lakini napenda kumhukumu kwa haki si kwa maneno ya kulishwa na CCM Kama ni mla rushwa tuambiwe ni rushwa ya nini, ni lini ilitokea na ni wapi na serikali ilimchukulia hatua gani na kama serikali haikuchukua hatua tuambiwe ni kwanini? zaidi ya hapo yatakuwa ni majungu ya akina Nape und co.
Kwenye red: Mjini Dodoma wakati wa Bunge Maalum la Katiba.
Kwenye blue: Lowassa, kwa maneno yake, hakuhama CCM kwa sababu ya serikali 2 au 3. Au Hakuhama CCM kwa sababu hakubaliani na sera zake. Kilichomkimbiza CCM ni jina lake kukatwa Dodoma. Basi! Na hataki kuwa kwenye Chama chochote ambacho hakitampitisha kuwa mgombea wa urais. CCM wamekata jina akaondoka. Kaingia CHADEMA na washirika na kupewa kiti cha enzi!
Na kujibu swali lako kwenye blue, kama Lowassa atakubaliana na UKAWA kuhusu serikali 3, watu watakuwa na haki ya kuhoji dhamira ya yeye kufanya hivyo sasa na sio wakati UKAWA inaundwa. Kumbuka UKAWA ni umoja wa vyama vinavyopinga kile Lowassa na wenziwe walichopitisha Dodoma. Na huko nyuma hakusema chochote wakati Lipumba na wenzake wanatoka nje. Leo hii anatumia UKAWA kama daraja la kufikia azma yake ya kwenda Ikulu, na sio mambo ya serikali 3.
Kwa ufupi bado hii saga ya Lowassa inaacha maswali mengi sana.
FJM sitakuita muongo lakini sidhani kama unasema kweli...ndani ya BMLK Lowasssa sikumbuki kama aliwahi kusimama na kutetea muundo wa serikali mbili ila kuna wakati aliongea akitoa maoni yake kuhusu dira ya taifa. Hakuongelea tu muundo wa serikali aligusia na mambo mengine kama elimu, umiliki wa ardhi, ajira na vitu kama hivyo na kwa kifupi ni kwamba alionesha kutokubaliana na sera za chama chake. Kuhusu muundo wa serikali tatu alitoa tu tahadhari kwamba kunaweza kuhatarisha uhai wa Muungano.Kwenye red: Mjini Dodoma wakati wa Bunge Maalum la Katiba.