Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,142
- 143,750
Hakuna kujipanga bila kudai Katiba ya mpya ya rasimu ya Warioba na tume huru ya uchaguzi. Vinginevyo dikteta uchwara atafanya yake ya wizi wa kura Bara na visiwani kwa kupitia mtutu wa bunduki na tume feki ya uchaguzi (Kitengo cha MACCM).
Mwaka 2020 mgombea wa Chadema/ UKAWA ni yule yule Lowassa.
Kama alivyosema kipindi cha nyuma kwake Tume ya Uchaguzi siyo tatizo.
Kura za urais pigine kisha wamuachie yeye atazilinda.
kiukweli bila katiba mpya na tume huru ya uchaguzi hakuna jipya tutegemee kulalamika tu! Mara uchaguzi haukuwa huru N.kHaya, kama kulikuwa na shaka au sintofahamu juu ya suala la katiba mpya, hali hiyo imeondolewa na kauli ya si mwingine bali mtukufu wetu mwenyewe, rais wetu mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Mwenyewe kwa mdomo wake wakati alipoongea na waandishi wa habari kwenye mkutano wake na wao alisema kwamba wakati wa kampeni hakuahidi chochote kuhusu katiba mpya na hivyo kwake si suala lenye kipaumbele.
Sasa nyie chama kikuu cha upinzani mmejipangaje ? Bado mtashiriki kwenye huo uchaguzi na kuendelea kuwa wasindikizaji wa CCM ikulu?
Wiki chache zilizopita niliwashauri msusie chaguzi zote zijazo hadi hapo kitapoeleweka kuhusiana na katiba mpya pamoja na tume huru ya uchaguzi.
Vipi sasa baada ya kusikia moja kwa moja kutoka kwa mkulu, bado mstashiriki huo uchaguzi [wa 2020]?
Mimi nadhani hilo suala la katiba mpya pamoja na tume huru wapinzani wangelifanya kuwa ndo kipaumbele chao kwenda mbele.
Wakisusa mimi naanzisha chama, yanaweza kunikuta ya wapinzani Hamad Rashid Zanzibar.Anyway mambo ya katiba Mbona Lowassa na kundi lakae la kina Kingunge walikuwemo ndani ya bunge la katiba na wakapiga nkura ya ndio kwa ibara zote za katiba pendekezwa .Leo wamekula posho zimeisha etihawaitaki tena na kibaya zaidi Chadema na mbowe inashirikiana nao.Hakuna mtu mwenye akili timamu atawasikiliza.Hawana credibility ya kudai katiba ya warioba kwa sasaHaya, kama kulikuwa na shaka au sintofahamu juu ya suala la katiba mpya, hali hiyo imeondolewa na kauli ya si mwingine bali mtukufu wetu mwenyewe, rais wetu mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Mwenyewe kwa mdomo wake wakati alipoongea na waandishi wa habari kwenye mkutano wake na wao alisema kwamba wakati wa kampeni hakuahidi chochote kuhusu katiba mpya na hivyo kwake si suala lenye kipaumbele.
Sasa nyie chama kikuu cha upinzani mmejipangaje ? Bado mtashiriki kwenye huo uchaguzi na kuendelea kuwa wasindikizaji wa CCM ikulu?
Wiki chache zilizopita niliwashauri msusie chaguzi zote zijazo hadi hapo kitapoeleweka kuhusiana na katiba mpya pamoja na tume huru ya uchaguzi.
Vipi sasa baada ya kusikia moja kwa moja kutoka kwa mkulu, bado mstashiriki huo uchaguzi [wa 2020]?
Wananchi au ninyi wafuasi wa chaggadema?Wamepandikiza vyama vingine kama tlp, chausta, udp, etc vitashiriki hivyo, hapo ishu sio ukawa ni sisi wananchi tufanye walichofanya wakenya kupata tume huru hata kama kuna watu watakufa
Pitia hapa kidogo Mkuu :Hapana aisee, tume ya uchaguzi ilivyo hivi sasa ni tatizo.
Kama Lowassa alisema si tatizo basi alipotoka sana.
Huenda labda aliposema hivyo bado mindset yake ilikuwa ki-CCM CCM.
Hayo alikuambia mlipokuwa kwenye kijiwe chako cha kuuza supu ya pweza??Mwaka 2020 mgombea wa Chadema/ UKAWA ni yule yule Lowassa.
Kama alivyosema kipindi cha nyuma kwake Tume ya Uchaguzi siyo tatizo.
Kura za urais pigine kisha wamuachie yeye atazilinda.
Hizo murder Case kama zitahusisha pia Mbowe mwenyewe, kina mukya na familia zao sio mbayaKwa aina ya uongozi ya mkuu hadi itakapofika 2020 kutakua na murder case nyingi zinazomuhusisha it's the matter of time we subiria tu!!Neno democracy kwake lina ukakasi sana mawazoni mwake na katiba ni msamiati mgumu sana katika fikra zake !!anachoona yeye ni kwamba ataongoza nchi kwa utashi wake
kiukweli bila katiba mpya na tume huru ya uchaguzi hakuna jipya tutegemee kulalamika tu! Mara uchaguzi haukuwa huru N.k
Ni kweli Mkuu maana ingekuwa ndo CDM ipo madarakani hakuna tatizo hata moja kati ya uliyoyataja lingekuwepo.Kungekuwa na pepo ndogoWewe ndo ujipange,unafikiri hao unaowaita UKAWA wanatoa kura Mfukoni?Kura unapiga wewe,pia tulipo na tulipotoka,
Jiulize,Mkate ulikuwa 800 asaivi 1300/-,
Nauli ilikuwa 400, asaivi inapanda uda kwa 650/-,
Sukari ilikuwa 1500/- asaivi 2500/-
Umeme ulikuwa chini sasa umepanda.
Ajira zilikuwepo sasa zimesitishwa.
Ukikuwa unasoma mwanahakisi,Magazeti na blogs asaivi zimefungiwa.
Wanao/wadogo ,Mkeo na nduguzo wanahaha hakuna mikopo elimu ya juu,wengine wamefukuzwa baada ya kuitwa ****** ilhali kosa si lao,Maana hata kama walioata divisio 4 kwanini mliwapeleka Udom?Si mngewaacha waende VETA?
Haya sasa mnyinge mnyingeni haki yake mpeni!
Wewe ndo ujipange,unafikiri hao unaowaita UKAWA wanatoa kura Mfukoni?Kura unapiga wewe,pia tulipo na tulipotoka,