CONSTRUCTIVE THOUGHT
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,158
- 417
Hoja ninayo ila haijakufarahisha kwakua inaukweli wakati wewe unataka hoja za kukudanganya.huna hoja
Hoja ninayo ila haijakufarahisha kwakua inaukweli wakati wewe unataka hoja za kukudanganya.
gamba with poor thinking at work
Zipo dalili za wazi kuwa CHADEMA / UKAWA kuanza kutoa sera zao katika kipindi cha mwishoni kabisa cha kampeni. Hii inatokana na ukweli kwamba wanatumia muda mwingi kumshafisha mgombea wao wa kiti cha Urais, Lowassa kuliko kuwaeleza watanzania watawafanyia nini kama watapewa ridhaa ya kuchukua dora. Hivyo kuna dalili za wazi kuwa watakumbuka shuka kumekucha.

Poa..........Ukawa wamejaa jf hata usishangae komenti
Uvumilivu upo tuu mkuu.Timetable ya Campaign bado mkuu...
Uvumilivu wa subira muhimu.
Kiongozi vuta subiraaa, mambo ya kianza ndy ulete hoja yako ya kijani hapa...
Inanihusu sababu ni Mtanzania.wewe inakuhusu nn sasa