CHADEMA/UKAWA inazindua leo kampeni uchaguzi Serikali za Mitaa hapa Tunduma.

respect wa boda

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
4,557
3,835
Wakuu leo ndo leo ndani ya Mji mdogo Tunduma, Ni katika viwanja maarufu kama uwanja wa nyumbani wa Dr Slaa (Shule ya msingi Tunduma) kunafanyika Uzinduzi wa Kampeni za Chadema na UKAWA kwa ujumla ktk Uchaguzi wa serikali za mitaa hapo December 14.

Watu wamehamasika kweli na uchaguzi huu kanakwamba ni uchaguzi mkuu, ndani ya mtaa wangu ninaoishi takribani waananchi 800(mianane) wamejitokeza kujiandikisha wengi wakiwa vijana wa miaka 18 mpaka 25 hawa wote kimsingi ni Chadema tupu. Kwa kutambua hilo maccm wameanza kuvuruga uchaguzi huu kwa kumwekea Mgombea wa UKAWA, Usweghe mapingamiza yasiyokuwa na kichwa wala miguu hata hivyo mapingamizi hayo yametupiliwa mbali na msimamizi wa ichaguzi.

Jana nikiwa safari nasikia walifanya mkutano pale sokoni na kuambulia watu 18 waliojitokeza kuwsikiliza kimsingi hali ni tete ndani ya ccm. Kumbuka ni Kata hii ambayo imegawanywa na kutokea kata 14 ambazo mwakani zote zitakuwa na madiwani hivyo kuwa na Halmashauri inayojigemea. Na bila shaka mpaka sasa wanajua Halmashauri hiyo itaongozwa na Chadema.

Ungana nami hapa ili kupata kinachoendelea kwenye mkutano huu Kabambe.....

BACK TANGANYIKA
 
wakuu leo ndo leo ndani ya mji mdogo tunduma, ni katika viwanja maarufu kama uwanja wa nyumbani wa dr slaa (shule ya msingi tunduma) kunafanyika uzinduzi wa kampeni za chadema na ukawa kwa ujumla ktk uchaguzi wa serikali za mitaa hapo december 14.

Watu wamehamasika kweli na uchaguzi huu kanakwamba ni uchaguzi mkuu, ndani ya mtaa wangu ninaoishi takribani waananchi 800(mianane) wamejitokeza kujiandikisha wengi wakiwa vijana wa miaka 18 mpaka 25 hawa wote kimsingi ni chadema tupu. Kwa kutambua hilo maccm wameanza kuvuruga uchaguzi huu kwa kumwekea mgombea wa ukawa, usweghe mapingamiza yasiyokuwa na kichwa wala miguu hata hivyo mapingamizi hayo yametupiliwa mbali na msimamizi wa ichaguzi.

Jana nikiwa safari nasikia walifanya mkutano pale sokoni na kuambulia watu 18 waliojitokeza kuwsikiliza kimsingi hali ni tete ndani ya ccm. Kumbuka ni kata hii ambayo imegawanywa na kutokea kata 14 ambazo mwakani zote zitakuwa na madiwani hivyo kuwa na halmashauri inayojigemea. Na bila shaka mpaka sasa wanajua halmashauri hiyo itaongozwa na chadema.

Ungana nami hapa ili kupata kinachoendelea kwenye mkutano huu kabambe.....

Back tanganyika

ukawa ni mpango wa allah!
 
my hometown, kwa halihalisi ilivyo, CCM wanahitaji nguvu ya ziada kuwezapata hata mtaa mmoja. CDM na UKAWA kwa ujumla wamejizatiti na wananchi wanawaunga mkono.
 
Siohuko tu hatakwetu wapoleo mwanzo mwisho
 
Attachments

  • 1417357470855.jpg
    1417357470855.jpg
    76.6 KB · Views: 361
Daaaah wakuu mniwie radhi, Network ilikuwa ikusumbua sana kiasi nikashindwa kuleta updates hapa ndani. Ni tatizo lililokuwa nje ya uwezo wangu, kwa yeyote ambaye ni mkazi wa Tdm then mtumiaji wa Voda atathibitisha nisemacho.

Ila mkutano umekwenda safi sana pamoja na mvua kuingilia kati mara kwa mara lakini umehitimishwa vyema sana na wananchi wengi waliojitokeza wameahidi kupigia kura wagombea wote wa UKAWA na mkutano umeisha kwa hamasa kubwa sana kanakwamba walikuwapo viongozi wakuu taifa wa chama wakati kiongozi mkubwa pekee aliyekuwapo ni M/kiti mkoa wa Mbeya ambaye ni mkazi wa hapa Tunduma na ni mgombea wa Maporomoko uchaguzi serikali za Mitaa

BACK TANGANYIKA
 
Wakuu leo ndo leo ndani ya Mji mdogo Tunduma, Ni katika viwanja maarufu kama uwanja wa nyumbani wa Dr Slaa (Shule ya msingi Tunduma) kunafanyika Uzinduzi wa Kampeni za Chadema na UKAWA kwa ujumla ktk Uchaguzi wa serikali za mitaa hapo December 14.

Watu wamehamasika kweli na uchaguzi huu kanakwamba ni uchaguzi mkuu, ndani ya mtaa wangu ninaoishi takribani waananchi 800(mianane) wamejitokeza kujiandikisha wengi wakiwa vijana wa miaka 18 mpaka 25 hawa wote kimsingi ni Chadema tupu. Kwa kutambua hilo maccm wameanza kuvuruga uchaguzi huu kwa kumwekea Mgombea wa UKAWA, Usweghe mapingamiza yasiyokuwa na kichwa wala miguu hata hivyo mapingamizi hayo yametupiliwa mbali na msimamizi wa ichaguzi.

Jana nikiwa safari nasikia walifanya mkutano pale sokoni na kuambulia watu 18 waliojitokeza kuwsikiliza kimsingi hali ni tete ndani ya ccm. Kumbuka ni Kata hii ambayo imegawanywa na kutokea kata 14 ambazo mwakani zote zitakuwa na madiwani hivyo kuwa na Halmashauri inayojigemea. Na bila shaka mpaka sasa wanajua Halmashauri hiyo itaongozwa na Chadema.

Ungana nami hapa ili kupata kinachoendelea kwenye mkutano huu Kabambe.....

BACK TANGANYIKA
Kata moja imezaa kata kumi na nje (14)? Au sikuelewi?
 
Kata moja imezaa kata kumi na nje (14)? Au sikuelewi?

Hujakosea mkuu ndicho ninachomaanisha mwaka kesho Tunduma itakuwa Halmashauri inayojitegemea nje ya wilaya ya Momba hii inatokana na ukubwa wa kata hii hata kugawanywa kwa wilaya ya Mbozi na kuzaliwa kwa Wilaya hii ya Momba kumetokana na Ukubwa wa. kata hii na population na Mapato yanayopatikana ndani ya Kata hii Bl 1.3 per year.

BACK TANGANYIKA
 
Back
Top Bottom