CHADEMA: Uchaguzi wa wilaya unarindima Shinyanga

CHADEMA: Uchaguzi wa wilaya unarindima Shinyanga

Frank Kubwera

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
244
Reaction score
112
kuanzia leo 8/8/2014 saa 3 asubuhi hadi nukta hii naandika. Hapa Shinyanga mjini kunafanyakika uchaguzi wa kwanza wa wilaya wa CHADEMA. uchagazi huu nauita wa kwanza kwa sababu kuu moja ni mara ya kwanza kwa CHADEMA na vyama vyote vya kiasiasa ikiwamo CCM kufanya uchaguzi wenyemvuto kisiasa kama huu. Ndugu msomaji nje ya ukumbi peke yake kuna wananchi maelfu wasio wajumbeb hawa wote wamefika hapa kujua ni akinana nani wanabeba tumaini lao la kuwaongoza kutwaa serikali 2015.

kwa ndani mvutano mkubwa ni kati ya wangombea uenyekiti wa CHADEMA Shinyanga Mjini. kati ya Bi Siri Yasini na bw Hassan Baruti.

more updates to come

Z

wajumbe ukumbini.
 
makamanda wa Shinyanga pigeni kura kwa umakini sana maana hapo Shy kuna vi-element vya ACTtena kuna mmoja anagombea
 
Mm jaman nikisikia uchaguzi wa CDM Nahisi ushindi wangu wa 2015.
 
bi siri yasuni na bwana hassan baruti
sipati picha kama hawa wagombea wangekuwa wakristo ingekuaje hapa

BTW all the best
 
bi siri yasuni na bwana hassan baruti
sipati picha kama hawa wagombea wangekuwa wakristo ingekuaje hapa

BTW all the best

mbunge masele anajisikiaje kwa mhamasiko huu? nini nafasi yake 2015?
 
Uchaguzi mwema.. ila muwe makini kuscan virus wasizamie Uchaguzi kwa gia ya Cdm kumbe mapandikizi
 
Back
Top Bottom