Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,134
Wewe unaota au umeamua kuwatukana Mbowe na SLAA kuwa hawana akili mpaka wakubali matokeo. Acha kutapatapa wewe CCM ni Noma, wananchi wanaikubali sana , tunadanganyana tu humu JF kwa vile tunasogeza muda ufike wa kutoka kIbaruani. Kumpgia kura mtu kama sugu, Lema ,Mdee , Wenje na wengine mpaka uwe mwendawazimu na inahitaji moyo. Machizi yale ndiyo maana wananchi wenye akili zao watakushangaa kuhusu ushindi wa CCM katika chaguzi mbalimbali. Halafu umesema vizuri sana ila kinyume, unajua majimbo ya Nyamagana, Mbeya Mjini, Kawe, Mbulu,Arusha mjini na mengine mengi lilishinda jina la Chama ila siyo watu.WADAU HABARI ZA MCHANA.
NIMEKUWA NIKIFUATILIA BAADHI YA CHAGUZI NDOGO TANZANIA NILICHOGUNDUA NI KUWA KWA MFUMO ULIOPO CCM ITAKUWA IKITANGAZWA MSHINDI KILA UCHAGUZI WAUTAKAO(SI KUSHINDA)
igunga chadema ilishinda ila ccm ikatangazwa.
uzini raza alishinda(si ccm)
chadema kila siku wanafanya mambo kama hawaijui ccm,uchaguzi wa igunga walitumia turufu yacuf hapo arumeru lazima watakuja na mbinu mpya ya wizi.
kumbuka majimbo waliyoshinda chadema 2010 ni kwa sababu ccm walilala wakidhani watanzania ni wale wale na kuelekeza nguvu kwenye urais.
chadema walitakiwa kufungua kesi ya kikatiba ili watanzania waliofikisha miaka 18 toka daftari lilipofanyiwa marekebisho waingizwe kwenye daftari.
wazee akili zao zinahitaji msaada,bibi zetu bado wanaichagua ccm na ccm wanalijua hilo.
chadema hata impeleke obama kuwa kampeni manager wasishangae ccm ikatangazwa mshindi,chadema kupata idadi kubwa ya kura sina hofu nalo ila kutangazwa mshindi ni kitu nyingine.
nitakuwa arumeru kwa ajili ya kampeni za chadema ila viongozi wangu tutafute namna ya kupigana na adui.:A S new:
Kama Arusha tuliweza kwanini siyo Arumeru ....mimi ninaimani kabisa tutaweza kuwa bana tofauti na ilivyo kuwa kule Igunga...Babu na Bibi zetu tuendelee kuwa elimisha.......nitakuwa arumeru kwa ajili ya kampeni za chadema ila viongozi wangu tutafute namna ya kupigana na adui.:A S new:
Safari hii kazi munayo Arusha-Arumeru siyo Igunga kura tutazilinda kwa gharama yoyote......Wewe unaota au umeamua kuwatukana Mbowe na SLAA kuwa hawana akili mpaka wakubali matokeo. Acha kutapatapa wewe CCM ni Noma, wananchi wanaikubali sana , tunadanganyana tu humu JF kwa vile tunasogeza muda ufike wa kutoka kIbaruani. Kumpgia kura mtu kama sugu, Lema ,Mdee , Wenje na wengine mpaka uwe mwendawazimu na inahitaji moyo. Machizi yale ndiyo maana wananchi wenye akili zao watakushangaa kuhusu ushindi wa CCM katika chaguzi mbalimbali. Halafu umesema vizuri sana ila kinyume, unajua majimbo ya Nyamagana, Mbeya Mjini, Kawe, Mbulu,Arusha mjini na mengine mengi lilishinda jina la Chama ila siyo watu.
Wewe unaota au umeamua kuwatukana Mbowe na SLAA kuwa hawana akili mpaka wakubali matokeo. Acha kutapatapa wewe CCM ni Noma, wananchi wanaikubali sana , tunadanganyana tu humu JF kwa vile tunasogeza muda ufike wa kutoka kIbaruani. Kumpgia kura mtu kama sugu, Lema ,Mdee , Wenje na wengine mpaka uwe mwendawazimu na inahitaji moyo. Machizi yale ndiyo maana wananchi wenye akili zao watakushangaa kuhusu ushindi wa CCM katika chaguzi mbalimbali. Halafu umesema vizuri sana ila kinyume, unajua majimbo ya Nyamagana, Mbeya Mjini, Kawe, Mbulu,Arusha mjini na mengine mengi lilishinda jina la Chama ila siyo watu.
WADAU HABARI ZA MCHANA.
NIMEKUWA NIKIFUATILIA BAADHI YA CHAGUZI NDOGO TANZANIA NILICHOGUNDUA NI KUWA KWA MFUMO ULIOPO CCM ITAKUWA IKITANGAZWA MSHINDI KILA UCHAGUZI WAUTAKAO(SI KUSHINDA)
igunga chadema ilishinda ila ccm ikatangazwa.
uzini raza alishinda(si ccm)
chadema kila siku wanafanya mambo kama hawaijui ccm,uchaguzi wa igunga walitumia turufu yacuf hapo arumeru lazima watakuja na mbinu mpya ya wizi.
kumbuka majimbo waliyoshinda chadema 2010 ni kwa sababu ccm walilala wakidhani watanzania ni wale wale na kuelekeza nguvu kwenye urais.
chadema walitakiwa kufungua kesi ya kikatiba ili watanzania waliofikisha miaka 18 toka daftari lilipofanyiwa marekebisho waingizwe kwenye daftari.
wazee akili zao zinahitaji msaada,bibi zetu bado wanaichagua ccm na ccm wanalijua hilo.
chadema hata impeleke obama kuwa kampeni manager wasishangae ccm ikatangazwa mshindi,chadema kupata idadi kubwa ya kura sina hofu nalo ila kutangazwa mshindi ni kitu nyingine.
nitakuwa arumeru kwa ajili ya kampeni za chadema ila viongozi wangu tutafute namna ya kupigana na adui.:A S new:
Kama Arusha tuliweza kwanini siyo Arumeru ....mimi ninaimani kabisa tutaweza kuwa bana tofauti na ilivyo kuwa kule Igunga...Babu na Bibi zetu tuendelee kuwa elimisha.......