john mhagama
Member
- Jul 10, 2013
- 9
- 8
Kwa mambo yanatokea hapa nchini ni wazi kuwa ukombozi hauko mbali sana,ni wazi pia watawala wamechoka na wamekata tamaa kabisa,ukitafakari kauli zao neno kwa neno utagundua ninachokisema,inashangaza sana kusikia hata mkuu wa nchi akilalama tena kwa huzuni kabisa juu amani na kutaja kwa ujmla tu eti kuna watu hawalitakii mema taifa letu na anaonyesha kama anawajua na hataki kuwataja,huu ni sawa na upuuzi,Inchi ipo mikononi mwao na kama hao watu wanaosababisha kutokuwepo kwa amani mnawajua why dont they take an action?nilikuwepo uwanja wa taifa siku ile ya usiku wa matumaini,Rais wetu alilalamika sana juu ya jambo hili kana kwamba naye anasubiri kuna mtu atakuja kuchua hatua na yeye haimuhusu kabisa.Hawawezi tena kufanya kazi wamechoka kila kukicha wanahangaika na Chadema tena kwa mambo ya uongo na ya kutunga na yasiyo na faida yoyote katika nchi badala yake ni hasara tu.Chadema msikate tamaa hata kidogo,safari bado ngumu,hawa watawala wamechoka,shikamaneni msigombane maadui zenu CCM wameishiwa mbinu badala yake wanachekesha dunia.Viva Chadema.