General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,178
SawaWabunge, madiwani na hata meya wa manispaa ya Moshi na wenyeviti wa halmashauri wote katika mkoa wa kilimanjaro tunaomba muufanye huo mkoa kuwa mfano katika taifa hili.
Kwa muda mrefu manispaa ya moshi imekuwa nyuma kimaendeleo licha ya wakazi wa mkoa huo ni wafanyabiashara wakubwa.
Tunataka mlete heshima ya mkoa huo, tunataka muboreshe biashara, utalii, miundombinu, shule na hospitali za mkoa huo.
Tunajua kwa sasa asilimia 70 ya wabunge na madiwani ni Chadema, hivyo hatutaki visingizio vya kitoto, hatutaki kusikia ufisadi katika mkoa huo.
Tunaomba mlete heshima kubwa katika mkoa huo.
Mkuu hapo kuna kigezo kimoja nadhani kipo nje ya uwezo wao kama binadamu wa kawaida cha kuufanya mji wa moshi uwe na idadi ya watu wanaohitajika ili uwe na sifa ya kuwa jijiWabunge, madiwani na hata meya wa manispaa ya Moshi na wenyeviti wa halmashauri wote katika mkoa wa Kilimanjaro tunaomba muufanye huo mkoa kuwa mfano katika taifa hili.
Kwa muda mrefu manispaa ya Moshi imekuwa nyuma kimaendeleo licha ya wakazi wa mkoa huo ni wafanyabiashara wakubwa.
Tunataka mlete heshima ya mkoa huo, tunataka mboreshe biashara, utalii, miundombinu, shule na hospitali za mkoa huo.
Tunajua kwa sasa asilimia 70 ya wabunge na madiwani ni CHADEMA, hivyo hatutaki visingizio vya kitoto, hatutaki kusikia ufisadi katika mkoa huo.
Tunaomba mlete heshima kubwa katika mkoa huo.
Vigezo vya watu sidhani kama watashindwaa.Mkuu hapo kuna kigezo kimoja nadhani kipo nje ya uwezo wao kama binadamu wa kawaida cha kuufanya mji wa moshi uwe na idadi ya watu wanaohitajika ili uwe na sifa ya kuwa jiji
Asante sana mkuu kwa maneno yako yako yenye busaraVigezo vya watu sidhani kama watashindwaa.
Kuwa na watu wengi ni kuukuza mji kibiashara, utalii, kupanua masoko, na kukuza kilimo kwa wingi ili wafanyabiashara waje kwa wingi.
Kuna mbinu nyingi ambazo wanaweza kutafuta wataalam kuwapa njia mbalimbali kuukuza mji huo.
Sikulaumu wewe bali nawalaumu wazazi wako walio kunyima elimuKwa Ubinafsi na Ukabila mlio nao bado kuna safari Ndefu.
Tofauti ni majina na utitili wa kodiWanaoishi kwenye majiji na wanaoishi manispaa wana tofauti gani?
Wewe kwenu si bukoba.?Wabunge, madiwani na hata meya wa manispaa ya Moshi na wenyeviti wa halmashauri wote katika mkoa wa Kilimanjaro tunaomba muufanye huo mkoa kuwa mfano katika taifa hili.