Sasa hao wakina Amstadam nani anawaogopa tafuteni hata 100 wataondoka na aibu tu...........hii ni nchi huru uchaguzi ujao rais atatoka CCM tena na atapita kwa kura 100% mkawape taarifa mapema wakati mnawaajiri...Mnataka mawakili wa humo Tanzania ili muwafanyie vifigisu sio?
Sasa hao wakina Amstadam nani anawaogopa tafuteni hata 100 wataondoka na aibu tu...........hii ni nchi huru uchaguzi ujao rais atatoka CCM tena na atapita kwa kura 100% mkawape taarifa mapema wakati mnawaajiri....
Wakati mnajipanga hivo na Sisi uku kwetu tunataka raisi wetu wawe watatu kama huyu WA SASA ......haafu uone balaaa lake.....na chaguzi nyingine tatu kama hizi au kupita hii......na hiyo mpaka wake zao tuwachukue na watoto zao pia
Hawa ni aina ya wale wanawake ambao wanadhani wakiolewa na Mzungu basi maisha yatakuwa safi.
Tumemaliza miaka mitano na Magufuli na mambo yapo Super na sasa tumeanza mitano mingine subirini hao wakina Amsterdam waeendelee kuwaoa tu.
Upupu tu hao waendelee tu kupumuliwa migongoni Africa hawapawezi kama mnawataka sana nendeni muwafate huko na nyie mpumuliwe migongoniSubutuuuu jiwe akiwa challenged hatawasumbua wapinzani,sasa hivi anajiamulia tu kwa mfano trillion 1.5 zilipotea na hakuna aliyemuuliza chochote na HAKUNA sasa hivi NDANI ya nchi anayeweza kumuuliza chochote! Akipata pressure kutoka international community, mwenyewe atakua mpole, nimesema mawakili wa nje sababu wa ndani wanaweza kufutiwa uwakili, kuuwawa au kuwa harrased na police pale watakapoenda kuwa against na serikali. Vitu hivi Sio rahisi kumfanyia wakili wa nje
SAY NO TO UNYANYASAJI WA VIONGOZI WA UPINZANI #
Haya sawa.Ngoja tuanze na hao kwanza tuwapeni dose!
Tunahitaji vijana Watanzania tu wenye kuchukia dhuluma. Wanigeria wameandamana na kuleta mageuzi katika jeshi lao la polisi kwa damu ya vijana yao, Wakenya walifanya hivyo pia... Wala hatuhitaji Wazungu.
Mimi sioni sababu ya kusubiri hadi 2025. Iundwe Serikali ya mpito kwa miezi kadhaa ambayo jukumu lake kubwa itakuwa ni kuandaa uchaguzi mwingine kupitia tume huru ya muda ambayo itachaguliwa vile ambavyo Serikali hiyo ya mpito itakavyoona sawa. Hiki kituko kilichofanyika si uchaguzi hata chembe.