CHADEMA tunahitaji wabunge 133 tu tuunde Serikali yetu!

TheDealer

JF-Expert Member
Nov 19, 2012
2,424
1,129
Tundu Lissu akiongea jana, alisema kuna majimbo ya uchaguzi jumla 265 kote nchini!

Ili CHADEMA iweze kuunda serikali inabidi kupatikane jumla wabunge wa kuteuliwa 133 tu nchini kote! Hii ni ili aweze kumteua waziri mkuu wake!

==========
UPDATES:
==========


 
Hyo serikali anayoitaka akaunde kwao singida.
Watu naona wanaanza kuleta masiara sana
 
Ukerewe,Sengerema,Busanda,Kahama mjini,Ushetu,Buchosa,Mbogwe,Kishapu,Shytown,Meatu,Kisesa,Bariadi zote 2,Musoma,Butiama.
 
Tanzania mpya ya amani,utulivu na maendeleo ya ukweli inawezekana endapo mimi na wewe tutaamua kupitia sanduku la kura.its now or never!!
 
kwanza inasikitisha kuona hata wewe haiwezekani kufika hio 133 maana tathimini yako imeishia majimbo 35 tu na haukuweza kuendelea.
Katika hayo majimbo nakushauri ufute majimbo yafuatayo:- Butiama, Temeke, Serengeti, Tarime vijijini, Bunda Mjini, Kawe, Kibamba, Ubungo, na inawezekana majimbo mengine yataongezeka.
TheDealer
 
Last edited by a moderator:
kwanza inasikitisha kuona hata wewe umeona haiwezekani kufika hio 133 maana tathimini yako imeishia majimbo 35 tu na haukuweza kuendelea.
Katika hayo majimbo nakushauri ufute majimbo yafuatayo:- Butiama, Temeke, Serengeti, Tarime vijijini, Bunda Mjini, Kawe, Kibamba, Ubungo, na inawezekana majimbo mengine yataongezeka.
TheDealer
 
Last edited by a moderator:
Hata kama majimbo yote yaliyotajwa yakienda chadema bado ccm inamajimbo 200, likely na kura za urais zitakuwa za ccm.
 
TheDealer

Kwa hiyo baada ya CHADEMA kununuliwa na fisadi Edo, UKAWA hawana chao tena!!?
 
Last edited by a moderator:
Waziri mkuu ndiye huo wakuambiwa aseme, peoplessssssss???? Akiambiwa aseme nyaaaaaaà atasema????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…