assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Namba 1-4 wanatakiwa KUITWA ili wapewe ushahidi, namba 5 pekee WASIITWE na badala yake wapelekewe ushahidi ifisini.1) waiteni viongozi wa lhrc wapeni ushahidi
2)waiteni viongoxi was dini wapeni ushahidi
3)Iteni taasisi za kijamii km jukwaa LA katiba n nyengine wapeni ushahidi
4)waitem tanganyika law society wapeni ushahidi
5)peleni ushahidi ktk balozi za USA n ulaya
5) andaeni makongamano kwa kushirikiana n taasisi tajwa hapo kushughulikia hali ya siasa inaavyoendelea kwa kulipia airtime kwa baadhi ya TV n radio stations, pia jukwaa LA wahariri waelemishwe wawe n makala kuhusu hali yasiasa nchini
note. ushahidi ni collection ya matukio yote n indicator mby toward 2020
Ndege imejaaKwani sasa Hivi wanakula hizo ndege za mitumba?
Wananchi watakula hayo makongamano?
Ujinga mtupu.
Pia wasiache kujitoa muhanga kwa kuandamana japo kikundi cha viongozi tu, wasiogope sana kufa...1) waiteni viongozi wa lhrc wapeni ushahidi
2)waiteni viongoxi was dini wapeni ushahidi
3)Iteni taasisi za kijamii km jukwaa LA katiba n nyengine wapeni ushahidi
4)waitem tanganyika law society wapeni ushahidi
5)peleni ushahidi ktk balozi za USA n ulaya
5) andaeni makongamano kwa kushirikiana n taasisi tajwa hapo kushughulikia hali ya siasa inaavyoendelea kwa kulipia airtime kwa baadhi ya TV n radio stations, pia jukwaa LA wahariri waelemishwe wawe n makala kuhusu hali yasiasa nchini
note. ushahidi ni collection ya matukio yote n indicator mby toward 2020
Ni ushauri mzuri. Umenikumbusha kitabu cha "Weep not child " (1964)cha Ngugi wa Thiong'o. Katika kitabu hicho ambacho kinamuongelea kijana wa Njoroge, aliyeachiwa na mama na mama yake wa kambo kutoka kwa baba yake. Kabla ya baba yake kukata roho alimwambia " weep not child" akiimanisha asitumie muda mwingi kuomboleza na badala yake aendeleze mapambano ya kujikomboa yeye na mama zake na kwa ajili ya uhuru wa taifa lake la Kenya. Tumekusikiliza na tutachukua hatua.1) waiteni viongozi wa lhrc wapeni ushahidi
2)waiteni viongoxi was dini wapeni ushahidi
3)Iteni taasisi za kijamii km jukwaa LA katiba n nyengine wapeni ushahidi
4)waitem tanganyika law society wapeni ushahidi
5)peleni ushahidi ktk balozi za USA n ulaya
5) andaeni makongamano kwa kushirikiana n taasisi tajwa hapo kushughulikia hali ya siasa inaavyoendelea kwa kulipia airtime kwa baadhi ya TV n radio stations, pia jukwaa LA wahariri waelemishwe wawe n makala kuhusu hali yasiasa nchini
note. ushahidi ni collection ya matukio yote n indicator mby toward 2020
Wako sawa na Lugola mtoa matamko kupitia vyombo vya habari kila siku?chadema ni wazuri katika kulia na vyombo vya habari wakiambiwa watoe ushahidi wanakimbia
Bomu la arusha mbowe alisema anao ushahidi,mpaka leo kimya na Tanapa kimya
Chadema hawajawahi kuwa serious,ni wapigaji tu wa ruzuku na wasanii
Sawa kabisa.Hiyo iwe kabla ya kufanya maamuzi magumu sana.1) waiteni viongozi wa lhrc wapeni ushahidi