CHADEMA tumerudi kwenye chaguzi zinazoendeshwa kihuni, hatimaye tumegharamika tena! Tulipe kisasi?

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Natumia neno kihuni na naomba mods waelewe hasa ni kwa nini nimetumia neno hilo.

Hatuwezi kila chaguzi hizi lazima ama afe kada wa Chadema au wengi wao waachwe bila hatima na kisha tusiseme ni chaguzi zinazoendwshwa kihuni. Kila leo mambo yamekuwa yaleyale ambayo yanatokea kisha panaibuka kimbiakimbia ya polisi ya hapa na pale na baada ya muda mfupi mambo yanaendelea hivyohivyo.

Tulisema kuwa hatushiriki chaguzi hizi, kisha kweli hatukushiriki na wakafanya yale wanayoamini kwa amani kabisa! Hawakukamata wala kudhuru! Wakashinda kwa kishindo mambo yakaisha. Sasa tumeombwa na viongozi wetu wa kidini kuwa kufanya hivyo ni kuiletea nchi taswira mbaya. Tukashiriki ila naona tumerudi kulekule!

Tulipe kisasi?
Tukiendelea kuwaacha kwa hakika mampembe yatakomaa na watafanya mazoea. Kuwaachia wale tunaowaamini kuwa ni vyombo vya kiuchunguzi hakuna wanalofanya. Hima makamanda! Tuingie uwanjani, tuwasake kwa mikono yetu kisha tuwaonyeshe na sisi tunaweza.

Hatuwezi kuendelea kulea wahuni kisha tukadhani kuwa tutafanikiwa!
 
Binafsi naona hakuna sababu yoyote ya kushiriki uchaguzi wowote kwakuwa ni sawa na kujilipua pasipo na sababu, tuwaachie majahili waivunje katiba na kuisigina sheria maana wao wapo upande salama wanastahili.
 
Una uhakika na hao unaotaka kiwalipizia kisasi?? Unawajua?? Na kama unawajua si ukawaripoti polisi? Ukilipa kisasi na wao watakulipa kisasi je uanajua pa kuipeleka familia yako?? Ukiangalia nchi zinazotuzunguka je unaona wapi ni salama kwako pa kukimbilia?? Kama hujui yote haya basi kakojoe ukalale na uache kuropoka kwa kuwa umeshiba..
 
Unayaongea haya kwa sababu hayakuhusu.Tunachotakiwa si kuruhusu ulipaji wa visasi bali kuzishurutisha taasisi zinahusika kufanya kazi kwa weledi ili kuwafichua hawa wauaji.Wanajulikana ni akina nani na nani anawatuma.Tusijibague ati kwa vile yule ni Chadema shauri yake,kuna siku tutamalizika wote.Kwenye vita haichagui Chama.

Na hao wanaosababisha likiibuka lakuibuka ni mbio Uswiss tutabaki wenyewe
 
naunga mkono hoja kwanini watu wafe?
kwanini watu wawe vilema
kwanini watu wapoteze bure hela na muda wao.
 
Siasa zetu zimefika pabaya itoshe kuwa turudi kwenye mfumo wa chama kimoja vyama vingi tumeshindwa kwani ikumbukwe kuwa chaguzi zote huko nyuma zilisimamiwa na migambo tu bila siraha za moto na matokeo wagombea walikubali leo tunatumia polisi bunduki mabomu tunakwenda wapi wa tz
 
Una uhakika na hao unaotaka kiwalipizia kisasi?? Unawajua?? Na kama unawajua si ukawaripoti polisi? Ukilipa kisasi na wao watakulipa kisasi je uanajua pa kuipeleka familia yako?? Ukiangalia nchi zinazotuzunguka je unaona wapi ni salama kwako pa kukimbilia?? Kama hujui yote haya basi kakojoe ukalale na uache kuropoka kwa kuwa umeshiba..
Unaongea bila kufikiri sawasawa kijana.., huna masikitiko wala uchungu kwa haya mambo ya kishenzi yanayotendwa na jamaa zako..!

Nimekuhusisha na hao wauaji kwa sababu ktk andiko lako hakuna mahala ulipoonyesha kuudhika, kusikitishwa, wala kujali kua kuna uhai wa mtu umepotezwa kwa namna ya kinyama kabisa..

Badala yake, wewe unaonekana kujali zaidi na hata kuwasemea hao watakaolipiziwa kisasi.., kwa kua ni chama chako.., kwa kua mna roho special zaidi kuliko watanzania wengine.. Mnafikiri mnamtetea mtawala kwa kulinda wauaji..?!

Uvumilivu una mwisho wake.., kama una nafasi kidogo tuu ya Mungu ktk moyo wako, basi anza sasa kukemea siasa za kibaguzi na kiuaji ..., before it's too late.. Kwa sababu hata wewe hutaishi salama.. Take my words seriously..!
 
Natumia neno kihuni na naomba mods waelewe hasa ni kwa nini nimetumia neno hilo.

Hatuwezi kila chaguzi hizi lazima ama afe kada wa Chadema au wengi wao waachwe bila hatima na kisha tusiseme ni chaguzi zinazoendwshwa kihuni. Kila leo mambo yamekuwa yaleyale ambayo yanatokea kisha panaibuka kimbiakimbia ya polisi ya hapa na pale na baada ya muda mfupi mambo yanaendelea hivyohivyo.

Tulisema kuwa hatushiriki chaguzi hizi, kisha kweli hatukushiriki na wakafanya yale wanayoamini kwa amani kabisa! Hawakukamata wala kudhuru! Wakashinda kwa kishindo mambo yakaisha. Sasa tumeombwa na viongozi wetu wa kidini kuwa kufanya hivyo ni kuiletea nchi taswira mbaya. Tukashiriki ila naona tumerudi kulekule!

Tulipe kisasi?
Tukiendelea kuwaacha kwa hakika mampembe yatakomaa na watafanya mazoea. Kuwaachia wale tunaowaamini kuwa ni vyombo vya kiuchunguzi hakuna wanalofanya. Hima makamanda! Tuingie uwanjani, tuwasake kwa mikono yetu kisha tuwaonyeshe na sisi tunaweza.

Hatuwezi kuendelea kulea wahuni kisha tukadhani kuwa tutafanikiwa!
Inatakiwa waanzie kwako
 
Unaongea bila kufikiri sawasawa kijana.., huna masikitiko wala uchungu kwa haya mambo ya kishenzi yanayotendwa na jamaa zako..!

Nimekuhusisha na hao wauaji kwa sababu ktk andiko lako hakuna mahala ulipoonyesha kuudhika, kusikitishwa, wala kujali kua kuna uhai wa mtu umepotezwa kwa namna ya kinyama kabisa..

Badala yake, wewe unaonekana kujali zaidi na hata kuwasemea hao watakaolipiziwa kisasi.., kwa kua ni chama chako.., kwa kua mna roho special zaidi kuliko watanzania wengine.. Mnafikiri mnamtetea mtawala kwa kulinda wauaji..?!

Uvumilivu una mwisho wake.., kama una nafasi kidogo tuu ya Mungu ktk moyo wako, basi anza sasa kukemea siasa za kibaguzi na kiuaji ..., before it's too late.. Kwa sababu hata wewe hutaishi salama.. Take my words seriously..!
Kwanza jua sina chama na sijaona chama cha kushabikia, pili uliona wapi moto unazimwa kwa moto?? Leo ww ni mwanachama kwa chama chako lakini kuna watu hasa vijijini hawajui hata nn maana ya chama na faida yake je na yeye aache mazao yake akimbie nchi kwa sababu ww unataka kulipa kisasi?? Na kwann uwaze chama kingine na sio viongozi wa chama chako wanafanya hivi kwa kutafuta huruma ya wananchi? Hivi unamjua vizuri mwenyekiti wako wa saccos yenu?? Ukimjua utahama asubuhi. Ila sisi tunaomba mchukuane wote mnaotaka kulipizana kisasi mkatafute uwanja nje ya nchi hii halafu mrudi msitusumbue na vyama vyenu ambacho sijui kama kinekusaidia chochote katika maisha yako
 
Unayaongea haya kwa sababu hayakuhusu.Tunachotakiwa si kuruhusu ulipaji wa visasi bali kuzishurutisha taasisi zinahusika kufanya kazi kwa weledi ili kuwafichua hawa wauaji.Wanajulikana ni akina nani na nani anawatuma.Tusijibague ati kwa vile yule ni Chadema shauri yake,kuna siku tutamalizika wote.Kwenye vita haichagui Chama.

Na hao wanaosababisha likiibuka lakuibuka ni mbio Uswiss tutabaki wenyewe
Bora wewe umeongea kwa weledi na hekima.
 
Kwanza jua sina chama na sijaona chama cha kushabikia, (mwongo) pili uliona wapi moto unazimwa kwa moto?? (dawa ya moto ni moto) Leo ww ni mwanachama kwa chama chako lakini kuna watu hasa vijijini hawajui hata nn maana ya chama na faida yake je na yeye aache mazao yake akimbie nchi kwa sababu ww unataka kulipa kisasi?? Na kwann uwaze chama kingine na sio viongozi wa chama chako wanafanya hivi kwa kutafuta huruma ya wananchi? (acha ungese.., kwa nini hamumkamati kama ndie muuaji..?!) Hivi unamjua vizuri mwenyekiti wako wa saccos yenu?? Ukimjua utahama asubuhi. Ila sisi tunaomba mchukuane wote mnaotaka kulipizana kisasi mkatafute uwanja nje ya nchi hii halafu mrudi msitusumbue na vyama vyenu ambacho sijui kama kinekusaidia chochote katika maisha yako( wewe ni poyoyo.., siasa ndio njia ya maisha ya kila siku.., na ndio maana ccm wanaua watu kubaki madarakani )
 
Kwanza jua sina chama na sijaona chama cha kushabikia, pili uliona wapi moto unazimwa kwa moto?? Leo ww ni mwanachama kwa chama chako lakini kuna watu hasa vijijini hawajui hata nn maana ya chama na faida yake je na yeye aache mazao yake akimbie nchi kwa sababu ww unataka kulipa kisasi?? Na kwann uwaze chama kingine na sio viongozi wa chama chako wanafanya hivi kwa kutafuta huruma ya wananchi? Hivi unamjua vizuri mwenyekiti wako wa saccos yenu?? Ukimjua utahama asubuhi. Ila sisi tunaomba mchukuane wote mnaotaka kulipizana kisasi mkatafute uwanja nje ya nchi hii halafu mrudi msitusumbue na vyama vyenu ambacho sijui kama kinekusaidia chochote katika maisha yako
Ubongo uliojaa uharo, kuaminisha watu ujinga ukidhani wote wajinga,
 
Ww ni cdm ndio maana unajua lugha za matusi hayo unayojifanya kugeuza lugha wakati ni mambo ya 90s huko sa sijui umekuja lini mjini. Halafu unaposema kama mwenyekiti wenu ni muuaji wakati mm sikusema.muuaji je wewe umejuaje kama anaua?? Na ww sijui hata kama mwenyekiti wa mtaa wa chama chenu anakujua maskiniii...mnabaki kukimbizwa barabarani kama mnalipwa aisee kweli akili matope. Wanaofaidika wanaopiga ruzuku zenu nyie mnabaki kunyoosha vidole juu. Jiongeze ww utakufa maskini
 
Back
Top Bottom