The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,259
- 16,181
Nimeliandika sana hili sijui kwanini wakuu wa chama hawalitekelezi. Hili tutachangia hakuna shida.Kwa yanayo endelea humu Nchini ni bora Tuanze mchakato wa Kuanzisha kituo chetu cha Tv na Radio .
Tutachangia ujenzi na uanzishwaji,kwani kuna shida gani mbona mengi tumechangia.
watangazaji.
Asubuh kusoma magazeti
Yeriko Nyerere.
Mchana GJ Malisa
Jioni Mimi kambona
Usiku John Mnyika na Jacob Mayor
Mahubiri Lema
Afu muda uliobaki ni kupiga ngoma za sugu Ney wa Mitego
Wewe ndiye maandazi , kuna procedure gani ambayo CDM haiwezi kuitekeleza.Vituo vya TV havianzishwi au kufunguliwa kama vile unavyofungulia mbwa. Kuna requirements zake. Acha ushabiki maandazi
Tena sikuhizi ndio rahisi mno kuanzisha tv kuliko zamani. Maana cha msingi ni kuzalisha vipindi, kuwa na vifaa vya kuruka live na kuwa na mtambo wa kupeleka matangazo kwa mwenye king'amuzi. Pia kuna tv zinaruka kwenye bands za free to air za Intelsat.Vituo vya TV havianzishwi au kufunguliwa kama vile unavyofungulia mbwa. Kuna requirements zake. Acha ushabiki maandazi
ukikua utakuja kujua haujuiWewe ndiye maandazi , kuna procedure gani ambayo CDM haiwezi kuitekeleza.
Hiki kipndi cha 4 R ni kizuri kufungua Radio na TV mazingira ni rafiki mtaruhusiwa. Rhuksa!Kwa yanayo endelea humu Nchini ni bora Tuanze mchakato wa Kuanzisha kituo chetu cha Tv na Radio .
Tutachangia ujenzi na uanzishwaji,kwani kuna shida gani mbona mengi tumechangia.
watangazaji.
Asubuh kusoma magazeti
Yeriko Nyerere.
Mchana GJ Malisa
Jioni Mimi kambona
Usiku John Mnyika na Jacob Mayor
Mahubiri Lema
Afu muda uliobaki ni kupiga ngoma za sugu Ney wa Mitego
Nilisema kwenye andiko langu moja, CCM-Mama ya Mwl Nyerere ilicapitalize kwenye brains investment na capital investment ili waendelee kudumu na kutawala kwa karne 10. Chama chochote kisicho invest kwenye brains na capital hakiwezi shindana na Chama tawala. Wazo lako ni zuri kabisa ila je kuna brains za kuchachavua hiyo bussiness proposal for short and long term gains on money as well as a vehicle to constantly sell and promote their ideas and themselves.Kwa yanayo endelea humu Nchini ni bora Tuanze mchakato wa Kuanzisha kituo chetu cha Tv na Radio .
Tutachangia ujenzi na uanzishwaji,kwani kuna shida gani mbona mengi tumechangia.
watangazaji.
Asubuh kusoma magazeti
Yeriko Nyerere.
Mchana GJ Malisa
Jioni Mimi kambona
Usiku John Mnyika na Jacob Mayor
Mahubiri Lema
Afu muda uliobaki ni kupiga ngoma za sugu Ney wa Mitego
ufipa tv & ufipaFmKwa yanayo endelea humu Nchini ni bora Tuanze mchakato wa Kuanzisha kituo chetu cha Tv na Radio .
Tutachangia ujenzi na uanzishwaji,kwani kuna shida gani mbona mengi tumechangia.
watangazaji.
Asubuh kusoma magazeti
Yeriko Nyerere.
Mchana GJ Malisa
Jioni Mimi kambona
Usiku John Mnyika na Jacob Mayor
Mahubiri Lema
Afu muda uliobaki ni kupiga ngoma za sugu Ney wa Mitego
mixologistukikua utakuja kujua haujui
Yaan wew ni kiazi sana Labda JMT waweke ngumu tuu mbona wao wana Radio Uhuru,Chanel 10Vituo vya TV havianzishwi au kufunguliwa kama vile unavyofungulia mbwa. Kuna requirements zake. Acha ushabiki maandazi
Iwekwe fund rising kwanza watu tutachanga mambo yaende kwa uzuri kabisaaaaNilisema kwenye andiko langu moja, CCM-Mama ya Mwl Nyerere ilicapitalize kwenye brains investment na capital investment ili waendelee kudumu na kutawala kwa karne 10. Chama chochote kisicho invest kwenye brains na capital hakiwezi shindana na Chama tawala. Wazo lako ni zuri kabisa ila je kuna brains za kuchachavua hiyo bussiness proposal for short and long term gains on money as well as a vehicle to constantly sell and promote their ideas and themselves.
MIXOLOGIST read pleaseTena sikuhizi ndio rahisi mno kuanzisha tv kuliko zamani. Maana cha msingi ni kuzalisha vipindi, kuwa na vifaa vya kuruka live na kuwa na mtambo wa kupeleka matangazo kwa mwenye king'amuzi. Pia kuna tv zinaruka kwenye bands za free to air za Intelsat.
Changamoto ya tv ni kuzalisha vipindi na hela ya kuendesha tv.
Narudia tena kuanzisha tv ni rahisi ndio maana hata wachungaji wa juzi tu tayari wana tv zao. Mwamposa ana tv y arise and shine. Suguye ana tv ya WRM.
Pia hata yule Zamaradi ana tv yake ya Zamaradi tv.
Kweli chadema inazidiwa na Zamaradi?
Iwekwe fund rising kwanza watu tutachanga mambo yaende kwa uzuri kabisaaaa
🤣MIXOLOGIST read please
huyu ni chawa mufilisi🤣
Huyo ni chawa, yupo kazini hapo. Nasikia chawa wanalipwa laki kwa siku.