CHADEMA Toeni Tamko kwa Ripoti hii tume ya kuchunguza Mchanga

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,372
6,078
Ni mazoea kwa Chadema kutoa tamko kwa kila kinachofanywa na serikali ya awamu tano lakini baada ya Mheshimiwa Rais Magufuli kupokea ripoti hiyo naona kuna ukimya mwingi kulikoni?

Kwa ripoti hii umaarufu wa Rais Magufuli umepanda juu kwa kiasi kikubwa na Watanzania wengi wana Imani jinsi anavyoendesha serikali ya awamu ya tano.
 
Kaazi kweli kweli.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni mazoea kwa Chadema kutoa tamko kwa kila kinachofanywa na serikali ya awamu tano lakini baada ya Mheshimiwa Rais Magufuli kupokea ripoti hiyo naona kuna ukimya mwingi kulikoni?
Kwa ripoti hii umaarufu wa Rais Magufuli umepanda juu kwa kiasi kikubwa na Watanzania wengi wana Imani jinsi anavyoendesha serikali ya awamu ya tano.
Bogus sasa kazi ya chadema ni nn
 
Unadhani truely rais ameijua report ya tume Leo?
Chama makini kama Chadema kinahitaji kujiridhisha na ukweli kabla ya kuongea chochote.
Wewe unasema tunaibiwa kwasababu rais amesema , ila kwa tuliofuatilia issue ya sukari tunajua aina ya rais tuliyenae.
The president has proved many times to be unreliable source of information, so no need of hurried conclusions !
 
Kwa hili la tume nipo pamoja na Rais ingawa nami ni CDM lakini siwezi kubweza hili ambalo rais amelifanya, nimetoka maeneo yaliyo karibu na North Mara wananchi wangu wamepata shida sana kwa sababu ya Muhongo
Mwaka 2013 wananchi wa Nyamichale walifanyiwa tathimini ya ardhi yao lakini mpaka muda huu naandika hapa hawajawahi kulipwa fidia yeyote kwa sababu tu ya watu wachache waliokuwa wanashirikiana na huyu waziri
 
Mbona lissu kapongeza tume tayari
6a2e7d689599208db079a968e8b6039b.jpg
 
Unadhani truely rais ameijua report ya tume Leo?
Chama makini kama Chadema kinahitaji kujiridhisha na ukweli kabla ya kuongea chochote.
Wewe unasema tunaibiwa kwasababu rais amesema , ila kwa tuliofuatilia issue ya sukari tunajua aina ya rais tuliyenae.
The president has proved many times to be unreliable source of information, so no need of hurried conclusions !
Kwa mwenendo huu wa Rais Magufuli kufikia 2020 vyama kama Chadema vitakufa natural death.
 
..CCM ndiyo wanapaswa kutoa tamko.

..Wizara ya Nishati na Madini imeongozwa na wanachama wa CCM tangu mwaka 1977 chama hicho kilipoanzishwa.

..mikataba ya madini ilipitishwa na baraza la mawaziri ambao wote walikuwa ni wana CCM.

..sera ya madini iliyohalalisha unyonyaji huu iliungwa mkono na wabunge wa CCM.

..CCM wanapaswa kuliomba radhi taifa.
 
Bogas kabisa,CCM ndio iliyo sign hii mikataba ya kipumbavu.Badala ya kuficha ujinga wako unakuja hapa na ngonjera za std 1.CDM watoe tamko wao ndio walio sign huu ujinga?..Acha ufala
 
..CCM ndiyo wanapaswa kutoa tamko.

..Wizara ya Nishati na Madini imeongozwa na wanachama wa CCM tangu mwaka 1977 chama hicho kilipoanzishwa.

..mikataba ya madini ilipitishwa na baraza la mawaziri ambao wote walikuwa ni wana CCM.

..sera ya madini iliyohalalisha unyonyaji huu iliungwa mkono na wabunge wa CCM.

..CCM wanapaswa kuliomba radhi taifa.
Akikujibu nishtue
 
Binafsi naona ni premature kutoa pongezi kwa tume!!

Hivi kama kweli hayo makontainer 277 yana dhahabu ya 1.2 Trillion!!? Kama ni kweli basi ina maana makotainer yanayosafirishwa kwa mwaka yana thamani gani? Kuna mtaalamu moja humu alidai tunasafirisha makotainer kama 40,000 kwa mwaka.

Sasa najaribu kuimajine 40,000 /277 = 144
Pesa kwa ujumla 144 x 1.2 Trillion = 172.8 Trillion
Hapo hujajumlisha pesa ya migodini ambayo inapaswa kuwa kubwa kuliko hiyo ya mchanga!!
 
..CCM ndiyo wanapaswa kutoa tamko.

..Wizara ya Nishati na Madini imeongozwa na wanachama wa CCM tangu mwaka 1977 chama hicho kilipoanzishwa.

..mikataba ya madini ilipitishwa na baraza la mawaziri ambao wote walikuwa ni wana CCM.

..sera ya madini iliyohalalisha unyonyaji huu iliungwa mkono na wabunge wa CCM.

..CCM wanapaswa kuliomba radhi taifa.

Kweli kabisa
 
Back
Top Bottom