hatutaki kauli, hatutaki ahadi ya kuyafanyia kazi madai ya madaktari, tunataka madai ya madaktari yatimizwe haraka sana.
Kwanza, ubunge wa viti maalum ufutwe mara moja, mishahara, marupurupu na stahiki zao zote zielekezwe kuchangia fedha za kutimiza madai ya madaktari.
Cheo cha Naibu waziri, Ukuu wa Wilaya na Mkoa vifutwe?
Mishahara ya TRA, TANAPA na mshirika mengine pamoja na taasisi ambazo wafanyakazi wake wanalipwa msharaha mkubwa usiolingana na huduma wanayotoa ipunguzwe haraka.
Mashangingi ya serikali yauzwe, kama haiwezekani wayapark ili pesa za mafuta, matengenezo na vipuri zielekezwe kwenye kuwatimizia madaktari madai yao.
Yes it can be done.