Mbona tayari imeshaanza na mkoa mzima wa Dsm tayari umeshakuwa evalutated na wilaya nyingi za Tz pia tayaru. Evaluation (leadership audit anaifanya Dr Slaa mwenyewe na timu yake. Evaluation (audit) ni very participatory. Unaulizwa maswali na kuhojiwa majukumu uliyoyatimiza kulingana na katiba na kanuni za Chama. Mwenyewe unajiona unafaa au hufai kabla Dr Slaa na timu hawajakuambia. Chadema is a very creative party. I am proud of it.