Majungu hayasaidii uchaguzi umekwisha hakuna mtu aliyeshinda zaidi ya Chadema kushinda.
Wewe ni malaya tu ya CCM upo ya Chadema upo.mkuu umegeuka mpumbavu sasa!
umegeuka sanamu
umegeuka na kuwa mpuuzi kutetea ambayo haviteteeki
umekuwa adui wa utu wako mzuri
ebu jiangalie
Mleta mada kavurugwa, kama hujui jambo ni bora kukaa kimya, wagombea wote walikua wanaume, na wewe unadai mbowe alikua akitaka kuweka hawara yake, sasa hao wanaume nani hawara ya mbowe?, vichwa vingine bwana dah!
mkuu umegeuka mpumbavu sasa!
umegeuka sanamu
umegeuka na kuwa mpuuzi kutetea ambayo haviteteeki
umekuwa adui wa utu wako mzuri
ebu jiangalie